Natamani kumuacha ila nashindwa

Natamani kumuacha ila nashindwa

KUMBE WA COED nao wako hivyo tulikuwa tunafikirigi waalimu ndio wake kipindi tuko hapo kumbe wanatuita shetani? any way kwake Mungu anaeangalia mioyo rudi magotini utamwona tuu kama ni wako au laa kama wewe ni Mkristo. Mungu anongea na utasikia na atakuonesha kabisa. mwamini Mungu my dear
Thanks
 
Una maana gani
Namaanisha mkuu chuo 89% hakuna mapenz ya kweli yaan bado pia kama mpo chuo cha mapenz

Ila ckutegemea ungejipu kwa mantic kam hiv nimeona kweli ni mtu ambae una uwezo wa kubambanua hoja kisomi
 
Namaanisha mkuu chuo 89% hakuna mapenz ya kweli yaan bado pia kama mpo chuo cha mapenz

Ila ckutegemea ungejipu kwa mantic kam hiv nimeona kweli ni mtu ambae una uwezo wa kubambanua hoja kisomi
Ahaaaaa....nilikua na hamu ya kumpata mpenzi
Ila sasa mpaka natamani ku postpone
 
whaaaaaaaat ?!!!



IMG-20170123-WA0020.jpg
 
Ahaaaaa....nilikua na hamu ya kumpata mpenzi
Ila sasa mpaka natamani ku postpone
That life brother, yaan mapenz yanachangamoto kuliko kutafuta pesa...., pole mkuu jarbu kupunguz upendo tarbu na kuwa na mwanamke mwingine akupendae uumpe nafac
 
Ila kuna wengine basi tu
ingawa nasoma psychology lkn nashindwa kuwavumilia
+ philosophy itakusaidia , mimi naona ni nzuri sana philosophy saikology nikujua Tabia na mabadilko ya mtu kwa nn

Ktk philosophy nilisoma zaman ila ninachoamin kikubwa kuna sehemu paliandikwa "Nothing is static" so huwa najifunzia apo
 
Habari za wakati huu wanaJF,
Naomba niende moja kwa moja, Nimekua kwenye mahusiano na binti mmoja kwa mda wa mwaka 1 na 1/2 sasa.

Nimekumbana na yafuatayo:-
-Sikujua hapendi utani, nikamtania alinichoma kalamu na kwa kua nampenda nikavumilia.

-Wewe ni shetani tu kumbe unajifanya malaika. Pale unaponihitaji tu.

Sababu kaniomba tsh. laki 2.5 nikamgomea kwasababu hiyo ndo siku tumeingiziwa boom iitoshe na yeye kaingiziwa so sote tulikua na hela hivyo nikawa mgumu kumpa maana hana sababu za msingi.

- Toka mbele ya macho yangu shetani wewe.
Hapo ni baadaye kidogo tulikua tinaelekea COET kufanya UE nikataka kumsaidia begi ndugu yangu aliniaibisha mpaka machozi yalinitoka nikachukulia poa tu.

Baada ya paper nikamfuata tuongee nikamuuliza kulikoni. Akanijibu kuna mtu alimuudhi hivyo alikua na hasira (hasira za mtu mwingine ziniangukie mimi?) (nikajisemea kimoyomoyo) Nikajitahidi sana kuropoka nikamwambia siwezi kuendelea naye tena, akajibu poa (kirahisi) (sijui alijuaje nampenda)

Tukaagana vizuri tu mida ya usiku napigiwa simu rafiki yake akidai niende nikamuone (mpenzi wangu) coz muda wote analia tu. Nikashindwa kujizuia nikaenda ndugu yangu"! Macho ya mtoto kike yalibadilika rangi nakuambia basi sijui ilikuaje nikamhug na kumsamehe kabisa.

Baada ya hapo ameendelea na tabia zake mara shetani mara toka mbele ya macho yangu mara my kuna lecture ananitongoza mambo mengi.
Kila nikitaka kumuacha naumia sana na sijui kwanini inanitokea hivi.

Ushauri wako ni wa maana sana, naomba matusi yasiwepo.
Mzibue chemba tu ukiingia nae site, mwenyewe ataanza kukuita malaika
 
Back
Top Bottom