- Thread starter
- #21
Sawa ni miaka karibia 21 nowteens bana...mnaanza ngono mapema si usubirie ufike ata 20's
Sawa ni miaka karibia 21 nowteens bana...mnaanza ngono mapema si usubirie ufike ata 20's
kumbe sasa suluhisho unalijua?Sizani kama itakua suluhisho
Meaningful ideaHivi wazazi wenzangu kwanini tunapeleka hawa vijana kusoma wasichokijua wala kutilia mkazo kukijua
Mtu upo chuo kikuu lakini hujui kutofautisha Lecture (mhadhara) na Lecturer (Mhadhiri),acha ngono zingatia masomo Huyo binti si mke wako na kamwe hawezi kuwa mkeo maana kama sasa huna uwezo wa kumtunza japo kwa kidogo je utaweza vikubwa hapo baadae?
Hapanakumbe sasa suluhisho unalijua?
Mwaka wa piliAchana naye...huyo atakufanya usifikie malengo? Uko mwaka wa ngapi dogo? Piga shule ujiweke sawa kwanza!! Jiwekee malengo ya kupata GPA ya 5.0 uone kama utapata muda wa kupoteza!!
Thanks joanah......nimependa ushauri wakoNdio tatizo la kumuonesha mtu unampenda sana
Anza kuonesha don't care attitude
Akili imkae sawa kwanza
sasa kwanin option yangu umeikataa?Hapana
Tatizo sio kumuhudumia mkuuHivi wazazi wenzangu kwanini tunapeleka hawa vijana kusoma wasichokijua wala kutilia mkazo kukijua
Mtu upo chuo kikuu lakini hujui kutofautisha Lecture (mhadhara) na Lecturer (Mhadhiri),acha ngono zingatia masomo Huyo binti si mke wako na kamwe hawezi kuwa mkeo maana kama sasa huna uwezo wa kumtunza japo kwa kidogo je utaweza vikubwa hapo baadae?
Kwann nikubali point ambayo wewe mwenyewe unajua haina msaadasasa kwanin option yangu umeikataa?
Tafiti zinaonyesha kwamba 90% ya wanavyuo wa siku za sasa wanaconcentrate zaidi kwenye maisha ya mapenzi na ujinga ujina bila kusahau na u-social networking usio na mbele wala nyuma.Hivi wazazi wenzangu kwanini tunapeleka hawa vijana kusoma wasichokijua wala kutilia mkazo kukijua
Mtu upo chuo kikuu lakini hujui kutofautisha Lecture (mhadhara) na Lecturer (Mhadhiri),acha ngono zingatia masomo Huyo binti si mke wako na kamwe hawezi kuwa mkeo maana kama sasa huna uwezo wa kumtunza japo kwa kidogo je utaweza vikubwa hapo baadae?
Sio kweliTafiti zinaonyesha kwamba 90% ya wanavyuo wa siku za sasa wanaconcentrate zaidi kwenye maisha ya mapenzi na ujinga ujina bila kusahau na u-social networking usio na mbele wala nyuma.
wanadhani kuoa na kuolewa ni jambo la kukurupuka, wanadhani watazaa na kuishi humo hostel kwenye maji na umeme wa bure bila kusahau room ya TZS 41,500/4month.
HapanaEmbu weka picha yake kwanza
Nikitazama mbele kidogo..!Habari za wakati huu wanaJF,
Naomba niende moja kwa moja, Nimekua kwenye mahusiano na binti mmoja kwa mda wa mwaka 1 na 1/2 sasa.
Nimekumbana na yafuatayo:-
-Sikujua hapendi utani, nikamtania alinichoma kalamu na kwa kua nampenda nikavumilia.
-Wewe ni shetani tu kumbe unajifanya malaika. Pale unaponihitaji tu.
Sababu kaniomba tsh. laki 2 na 1/2 nikamgomea kwasababu hiyo ndo siku tumeingiziwa boom iitoshe na yeye kaingiziwa so sote tulikua na hela hivyo nikawa mgumu kumpa maana hana sababu za msingi.
- Toka mbele ya macho yangu shetani wewe.
Hapo ni baadaye kidogo tulikua tinaelekea COED kufanya UE nikataka kumsaidia begi ndugu yangu aliniaibisha mpaka machozi yalinitoka nikachukulia poa tu.
Baada ya paper nikamfuata tuongee nikamuuliza kulikoni.
Akanijibu kuna mtu alimuudhi hivyo alikua na hasira (hasira za mtu mwingine ziniangukie mimi?) (nikajisemea kimoyomoyo)
Nikajitahidi sana kuropoka nikamwambia siwezi kuendelea naye tena, akajibu poa (kirahisi) (sijui alijuaje nampenda)
Tukaagana vizuri tu mida ya usiku napigiwa simu rafiki yake akidai niende nikamuone (mpenzi wangu) coz muda wote analia tu.
Nikashindwa kujizuia nikaenda ndugu yangu"! Macho ya mtoto kike yalibadilika rangi nakuambia basi sijui ilikuaje nikamhug na kumsamehe kabisa.
Baada ya hapo ameendelea na tabia zake mara shetani mara toka mbele ya macho yangu mara my kuna lecture ananitongoza mambo mengi.
Kila nikitaka kumuacha naumia sana na sijui kwanini inanitokea hivi.
Ushauri wako ni wa maana sana, naomba matusi yasiwepo.