Natamani kumuacha ila nashindwa

Natamani kumuacha ila nashindwa

niache nini sasa!

kwanza hii story inauhalisia ila ni story inayogusa maisha ya mtu mwingine ila sio wewe.

Mtu makini tu, ndiyo anaweza kugundua kuwa you aint victim, atafuatilia kila post unayojibu.

Siku nyingine sio lazima ujifanye wewe ndio mhusika kwenye story, kuwa mbinifu utapata wachangiaji wengi pia (according to your need).
Jaribu kupitia nyuzi mbalimbali utanielewa zaidi.
Ili hali ushachangia kidogo ni vizuri hiyo ni really kabisa
 
wewe ni number two yake...yuko na ww coz anajua unampenda..na akiumizwa na vibwana vyake ndo anakuja kwako...
 
Ndio maana nakwambia wewe lengo lako, ulitaka tu attention ya watu, watu wachangie topic yako, but this story ain't yours.
Ni mpaka nikupigie kengele ndo uniaelewe au
Mimi ndo nimefanyiwa hayo yote
ila sio lazima uamini mkuu pita tu kimya
 
Kutamka neno achana naye ni kazi ndogo sasa moyoni ndo kuna hatari
kuendekeza tu .. yani wewe unaona moto mkubwa halafu ndani kuna dhahabu unaingia kuchukua dhahabu halafu unalia naungua huku umekumbatia dhahabu ndani ya moto we utakuwa huna akili... kimbia achana na moyo toto
 
kuendekeza tu .. yani wewe unaona moto mkubwa halafu ndani kuna dhahabu unaingia kuchukua dhahabu halafu unalia naungua huku umekumbatia dhahabu ndani ya moto we utakuwa huna akili... kimbia achana na moyo toto
Itakua amewahi kunyonywa kule Sehemu!!!!
 
Huwezi kutupa nguo/kiatu (ki)mbaya kabla ya kununua (ki)nyingine.
Tafuta msichana mwingine (mzuri zaidi) na uwe na uhakika nae kisha ndo uachane na huyo uliyenae sasa hivi.

Kijana huwezi kujua ubaya/uzuri wa kitu kabla hujakilinganisha na vingine. Inaonekana wewe ni mwaminifu sana, daima waaminifu ndo hulizwa.
 
Back
Top Bottom