Natamani kumuacha ila nashindwa

Natamani kumuacha ila nashindwa

Sio kweli
Tafuta muda siku moja nikupitie hapo Hall 2, twende tukatembelee wafungwa kumi pale segerea. 90% hawatakubaliana na adhabu walizopewa. wewe ni sawa na mfungwa kwenye huu utafiti hivyo sikutegemea useme 'NI KWELI'..
 
Someni acheni mapenzi, mapenzi na shule ni mlenda na pilau
 
Af juz tu,ulituambia unasoma ordinary diploma,,,ukawa unaomba notes za adv Mathematics.
Vp diploma kumbe mnachukua bumu as usual?
Isitoshe sisomi diploma ingawa hata wao boom wanapewa
 
Tafuta muda siku moja nikupitie hapo Hall 2, twende tukatembelee wafungwa kumi pale segerea. 90% hawatakubaliana na adhabu walizopewa. wewe ni sawa na mfungwa kwenye huu utafiti hivyo sikutegemea useme 'NI KWELI'..
Narudia tena"nikweli kabisa "
 
Pia na wewe unaweza changia jambo
kuna mdau hapo juu kasema tatizo pesa sihitaji kuongeza neno, ndio maana unajipndekeza kubeba begi sababj huna cha kumpa ukiwa na pesa wanawake unawakontrol kama maroboti.
btw masomo mema.
 
Mimi hapo nimefatilia kile kifo cha yule dada anaesemena amebakwa hadi kufa ni kwamba diamond platnumz ndie msanii bora kwa sasa tz hayo aliyasema ozil wakat anafunga goli dhidi ya hardware za kusambaza mchanga kwenye uchaguzi wa kumpata miss wa korosho husaidia kumfanya mtu aoge kwenye gari ambalo halina laptop zenye ukubwa wa chai ya maziwa yenye barabara za kwenda calculator maji makubwa ya kilimanjaro ndio huletja matairi ya kifaru cha mwinuko wa bahari kwenye ukuta wa maji*

Nadhani hapo utakua umenielewa ndugu yangu ktk JF
 
Fanya UE kwanza usije pata sup bure.... alafu now mkopo si tabu kabisa alafu nyie mnataka kuuletea matatzo
 
Angalia thread uliyo anzisha tar 25 December 2016.Mara nying mkiwa waongo waongo mjitahd kuweka kumbukumbu vizuri.unfortunately nmeshindwa tu kuweka hyo link hapa
Thread nakumbuka nilipost kabisa hivo usipate tabu kumbukumbu zako ziko vizuri Ila wewe kama mtu mzma unatakiwa ujiongeze sio unakurupuka tu
kwani kusema nipo imekuaje basi kwa taarifa yako sisomi diploma
 
Ushauri wangu; Ukiwa college don't date college girls. Utaleta jakamoyo tu na kushindwa kuyafikia malengo yako kielimu.
 
kuna mdau hapo juu kasema tatizo pesa sihitaji kuongeza neno, ndio maana unajipndekeza kubeba begi sababj huna cha kumpa ukiwa na pesa wanawake unawakontrol kama maroboti.
btw masomo mema.
Ahaaaaaaaaaa vizuri kutambua hilo
 
Habari za wakati huu wanaJF,

Naomba niende moja kwa moja, Nimekua kwenye mahusiano na binti mmoja kwa mda wa mwaka 1 na 1/2 sasa.

Nimekumbana na yafuatayo:-
-Sikujua hapendi utani, nikamtania alinichoma kalamu na kwa kua nampenda nikavumilia.

-Wewe ni shetani tu kumbe unajifanya malaika. Pale unaponihitaji tu.

Sababu kaniomba tsh. laki 2 na 1/2 nikamgomea kwasababu hiyo ndo siku tumeingiziwa boom iitoshe na yeye kaingiziwa so sote tulikua na hela hivyo nikawa mgumu kumpa maana hana sababu za msingi.

- Toka mbele ya macho yangu shetani wewe.
Hapo ni baadaye kidogo tulikua tinaelekea COED kufanya UE nikataka kumsaidia begi ndugu yangu aliniaibisha mpaka machozi yalinitoka nikachukulia poa tu.

Baada ya paper nikamfuata tuongee nikamuuliza kulikoni.
Akanijibu kuna mtu alimuudhi hivyo alikua na hasira (hasira za mtu mwingine ziniangukie mimi?) (nikajisemea kimoyomoyo)
Nikajitahidi sana kuropoka nikamwambia siwezi kuendelea naye tena, akajibu poa (kirahisi) (sijui alijuaje nampenda)

Tukaagana vizuri tu mida ya usiku napigiwa simu rafiki yake akidai niende nikamuone (mpenzi wangu) coz muda wote analia tu.

Nikashindwa kujizuia nikaenda ndugu yangu"! Macho ya mtoto kike yalibadilika rangi nakuambia basi sijui ilikuaje nikamhug na kumsamehe kabisa.

Baada ya hapo ameendelea na tabia zake mara shetani mara toka mbele ya macho yangu mara my kuna lecture ananitongoza mambo mengi.

Kila nikitaka kumuacha naumia sana na sijui kwanini inanitokea hivi.

Ushauri wako ni wa maana sana, naomba matusi yasiwepo.
Unajielezea kwa shida kweli, upo mwaka wa ngapi na fani gani??
 
Acha hizo mkuu
niache nini sasa!

kwanza hii story inauhalisia ila ni story inayogusa maisha ya mtu mwingine ila sio wewe.

Mtu makini tu, ndiyo anaweza kugundua kuwa you aint victim, atafuatilia kila post unayojibu.

Siku nyingine sio lazima ujifanye wewe ndio mhusika kwenye story, kuwa mbinifu utapata wachangiaji wengi pia (according to your need).
Jaribu kupitia nyuzi mbalimbali utanielewa zaidi.
 
Back
Top Bottom