natamani kumpata mwanaume mkweli....!

natamani kumpata mwanaume mkweli....!

Tatizo lenu mnafikili mtapata wanaume wale mnaowaota kwenye ndoto, oooooooh very sorry kwako kwa sababu hata hajawahi kutokea inabaki ni nadharia tu, mwanaume anatengenezwa-unamuaanda na anajiridhisha na kuwa kama huyo umfikiliae kila kukicha, ushajiuliza wewe uko kwenye hali ya mwanaume kukuamini?na yeye akajitoa kwako kihivyo????????????/ oooooooooh yahitaji muda sana ila usife moyo.
 
We mwenyewe mkweli? Tatizo mademu macho juu juu sana yani watu wakushoboka unaweza ukawa mkweli lakini akipita mkaka mtanashati na vogue unaloaaaaaa tepetepe na kuanza uchakachuaji na wewe uwe matawi ya juu.
 
asanteni kwa coments zenu, na pm pamoja na namba zenu za sm. jioni njema.
 
kila mwanaume ni mkweli ila sema nyie wanawake ndio hamtaki kuambiwa ukweli. akikwambia nataka kukugegeda mnasema kwamba eti hananikosea heshima au kuniona malaya.

Hahahaaaa... We mbona mawazo yako yameenda fasta hapo kwenye......??
 
heeeeeeeeee.....kikubwa ni kuwa inawezekana lakini je mungu kasimama kuleta wengine zaidi....maake lazima ujue chanzo....swala hapo ni watoto wa leo walivyo jaaliwa huku walivyojua kuoga na kutambua nini wanaume tunataka....lakini zaidi ni pm mi nitajitahidi kuku company kwa kadri niwezavyo ila tu na we uwe mzuri lakini sio tena na kaa na wewe bar huku natamani aliyepita.....!
habari zenu wanajamvi,
kweli, natamani sana kuwa na mwanaume mwema, mwenye upendo wa kweli, anaejali, na mwenye utu. lakini kulingana na hali halisi ya wakati huu, mawazo hayo ni hadithi. kumpata mwanaume wa staili niitakayo inakuwa ni bahati ya kuzaliwa.
hivyo nimeamua kutazama kama vile natazama mpira uwanjani...! nimewashirikisha tu mawazo na hisia zangu, si lazima kuchangia.
 
ukimpata mwanamme mkweli huta dumu nae kwani wako very boring.
jivunie huyo mulongo mzinzi uliye nae. kila akitoka kwa madem wa nje anakuja na stori tamu ya urongo
 
Back
Top Bottom