natamani kumpata mwanaume mkweli....!

natamani kumpata mwanaume mkweli....!

kuna maneno ukisoma between the lines unagundua vitu vingi sana..............
 
Huyo hakuna labda uchonge,,,,,,,,,
Mwanaume ni mtu mdogo sana ukijua jinsi ya kuishi nae,,, kucheza na moyo na akili yake lazima uwe mshindi daima!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
habari zenu wanajamvi,
kweli, natamani sana kuwa na mwanaume mwema, mwenye upendo wa kweli, anaejali, na mwenye utu. lakini kulingana na hali halisi ya wakati huu, mawazo hayo ni hadithi. kumpata mwanaume wa staili niitakayo inakuwa ni bahati ya kuzaliwa.
hivyo nimeamua kutazama kama vile natazama mpira uwanjani...! nimewashirikisha tu mawazo na hisia zangu, si lazima kuchangia.

sasa utatuthibitishiaje kama kweli na wewe ni mkweli eeeeh?
 
We una gundu aisee ni mara ya pili unaleta tangazo hilo. Nenda kaoge baharini aisee au nenda raha tupu kajianike labda utapata.
Ndukiii naenda kwa kapuya!!
 
habari zenu wanajamvi,
kweli, natamani sana kuwa na mwanaume mwema, mwenye upendo wa kweli, anaejali, na mwenye utu. lakini kulingana na hali halisi ya wakati huu, mawazo hayo ni hadithi. kumpata mwanaume wa staili niitakayo inakuwa ni bahati ya kuzaliwa.
hivyo nimeamua kutazama kama vile natazama mpira uwanjani...! nimewashirikisha tu mawazo na hisia zangu, si lazima kuchangia.

na mie natamani kupata mwanamke mkweli anayejua kujali..
 
We una gundu aisee ni mara ya pili unaleta tangazo hilo. Nenda kaoge baharini aisee au nenda raha tupu kajianike labda utapata.
Ndukiii naenda kwa kapuya!!

alipata wa afueni kumbe anataka kunonilihino tu akasepa..
 
kila mwanaume ni mkweli ila sema nyie wanawake ndio hamtaki kuambiwa ukweli. akikwambia nataka kukugegeda mnasema kwamba eti hananikosea heshima au kuniona malaya.
 
habari zenu wanajamvi,
kweli, natamani sana kuwa na mwanaume mwema, mwenye upendo wa kweli, anaejali, na mwenye utu. lakini kulingana na hali halisi ya wakati huu, mawazo hayo ni hadithi. kumpata mwanaume wa staili niitakayo inakuwa ni bahati ya kuzaliwa.
hivyo nimeamua kutazama kama vile natazama mpira uwanjani...! nimewashirikisha tu mawazo na hisia zangu, si lazima kuchangia.

Nipigie kwa 0764556760
 
Hapo kwenye kujali ndo mtihani ulipo. Asipokupa hela utasema hajali.
Kiukweli hata mi natafuta mwanamke bora, lakini nikiona yupo kimaslai, nasepa.
 
habari zenu wanajamvi,
kweli, natamani sana kuwa na mwanaume mwema, mwenye upendo wa kweli, anaejali, na mwenye utu. lakini kulingana na hali halisi ya wakati huu, mawazo hayo ni hadithi. kumpata mwanaume wa staili niitakayo inakuwa ni bahati ya kuzaliwa.
hivyo nimeamua kutazama kama vile natazama mpira uwanjani...! nimewashirikisha tu mawazo na hisia zangu, si lazima kuchangia.

acha kuchelea bahati haziji mara mbili ndugu yangi,be serious
 
hao wanaume wakweli wapo na character zote unazohitaji ila inabidi uende kijiji flani kandokando ya ziwa nyasa na kule kigoma,KUNA WAFINYANZI WAOMBE WAKUTENGENEE MME UNAYETAKA.but men and women are made by themself
 
Back
Top Bottom