Ni muda sasa na tatizo limeanza kuwa sugu. Nikila nyama, Samaki, mayai au maziwa tumbo linanyonga sana. Mpaka inabidi nivue shati nilale kwenye tiles au sakafu ya baridi. Mpaka nikitapika ndo najisikia vizuri.
baba yako katoka poland?
huwa inakuwaje akitokea Poland.......?
Mimi nitakuwa jirani yako hapa shekoslovakia, sisi washekoslovakia tukikula nyama tunanyonyoka nywele.Usije ukawa ww ni cousin wangu manake mie ni mpolish,lol
kila nusu saa kabla ya kula kunywa maji glasi 2 ndipo ule chakula, ni ishara kuwa unapungukiwa maji, tafadhari fuatisha link hii kwa maelezo zaidi: je, tiba kwa kutumia maji inafanyikaje | maajabu ya maji
Mkuu, kama ukila mboga za aina nyingine hupati shida hiyo, shukuru Mungu maana hiyo ni bonge la bahati...utasave mahela kibao kwa kutokula hayo madude unayotamani! Haya mambo ya nyamanyama kwanza wewe siyo fisi bana..!
Mimi nitakuwa jirani yako hapa shekoslovakia, sisi washekoslovakia tukikula nyama tunanyonyoka nywele.
Bek to Ze topik:
Mkuu kama tumbo lako limezowea maharage na haukuli nyama mpaka krismass ifike, hiyo inawezekana ni tatizo la nyama kutokuzoeleka tu ndani ya system yako ya chakula. Jaribu kuchanganya mwezi mzima ukule nyama tu halaf uone.
Adhawaizi inawezekana pia waswahili washakuloga kwakuwa unamiliki ka kilo ka nyama. Waswahili wabaya wajameni! khaaa