Natamani kula Nyama

pole sana, mie pia nina tatizo kama hilo na hospitali walisema ni vidonda vya tumbo lakini baada ya uchunguzi wa muda mrefu imegundulika kuwa sio vidonda bali ni mawe yanayokaa kwenye nyonga na hakuna dawa zaidi ya kufanyiwa upasuaji kisha yanatolewa.
 
kama ni hivyo bora nisile nyama maisha.
 
mkuu mi nimeshindwa kukushauri kwa sababu sijajua ni aina gani ya nyama, nyama ya kuku, mbuzi, ng'ombe, kitimoto a.k.a noah, ya binadamu, ya pori ni nyama ya aina gani?. Nashut down
 
ya ng'ombe, kuku etc
 
hiyo maanayake ni areji so kuna dokta aliniambia hakuna dawa zaidi ya kuacha kinacho kudhuru maana mimi nina jamaa yangu akila nyama ya cow anavimba uso natumbo kuumaa.,pia niwaombe ndugu tunaochangia kwenye mambo ya msingi hasa matizo tusichanganye na masihara coz wengine tunakereka coz jamiiforum nizaid ya shule.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom