Mimi sio mtata Mkuu wala sina chuki yeyote
Ila ukweli usemwe, huyo ni binadamu wa kawaida km sisi
Sasa mnapoficha yale mabaya yake mnakusudia nini?
Hata kama unaswalia msikiti wake, jua tu mwamba alikuwa monster
Na wala sio vipodozi
Cc mrangimrangi ni kichwa hasa huwa namkubali sana, kungekuwa na mapendekezo ya kuingiza watu kwenye idara fulani huyu angefaa maana Dar anaijua in and out pia na watu maarufu, majambazi, matapeli, wauza ngada na matajiri wote anawajua na hustle zao...
Ingawa naona hapa kwa huyu jamaa umeamua kuficha baadhi ya mambo, haiingii akilini mtu atoke kuuza mgahawa aibuke kuwa tajiri ghafla. Kwa namna yoyote huyu bwana alijihusisha na madawa ya kulevya au biashara nyingine iliyompa ukwasi kwa ghafla hivyo...
Huyu jamaa ni very potential maana taarifa nyingi nyeti anazo...
Salute popote ulipo...
Kuhusu kuwa karibu na ile familia ya huyo jimmy CM,iliinunua nyumba yao pale kawe.Nimeishi kama mpangaji kwenye nyumba yao Msasani, karibu na Capetown Fish Market wakati huo ikijulikana kama Irish Pub.
Hawakuwahi kupangisha mtu wa dini ya Kikristo isipokua mimi na nilikua mpangaji wa mwisho kwenye ile nyumba. Niliishi nao vizuri tukawa kama ndugu tukaelewana nao sana. Aliwajali sana familia na ndugu zake. Hakua mtu wa maneno mengi, mkimya sana. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua kwenye msiba wa mdogo wao aliyeuwawa na wezi akiwa anafunga duka lake.
Mama yao Bi top yuko magomeni na ndipo msiba ulipokua. Msiba huu ni pigo kwa famia. Nyumba zao za Msasani ni yeye alikua akizuia zisiuzwe. Aliamua kuwaweka wajomba na ndugu zao wengine pale.
Moja iko barabarani kabisa na nyingine karibu na msikiti wa Msasani kwa wavua samaki.
Mengine ntanyamaza ila kwa hayo machache alikua mtu wa watu sana. mrangi nimekuelewa sana. Pia kwenye msiba wa mdogo wake Zingizi (Haroun) nilishangaa kukutana na Jimmy CM kitu kilichofanya nianze kujiuliza maswali kuhusu fununu kwamba marehem alikua wale ndugu zetu.
Kuhusu biashara zake kuna mengi sana yalikua yanasemwa lakini kwa vike haikua ikinihusu, sikuwahi kufuatilia wala kutaka kujua ukweli wake.
Sijaelewa hasa unachotaka ni kitu gani kwenye huu uzi mkuu. Umeuliza kila unapoandika watu waseme ukweli kuhusu biashara yake, kwanini unataka kulazimisha mambo ya habari za kusikia? Wewe kama unauelewa ukweli kuhusu biashara yake si uuweke hapa hadharani?
Watu wanaongelea yale waliyoyasadiki, kuyashuhudia na kuyaona. Hizo habari za kusikia hata wewe kuna watu wanasikia mengi kukuhusu lakini kwa vile ni kusikia wanapotezea.
mrangi amekupa ushuhuda wa jinsi alivyomfaham na alivyompa msaada kupata biashara ya kuagiza maziwa.
Mie nakwambia nimepanga na kuishi miaka zaidi ya 9 kwao Msasani na alikua akija kumsabahi Bibi yake karibia kila wiki. Kasaidia watu wengi kwa misaada inayoonekana. Wameenda hija na Mama yake waliporudi kaja kugawa zawadi kwa wote majirani na jamaa zake.
Kwa kuwa umeuliza, subiria wanaoujua kuhusu biashara wakujibu, ila kuendelea kumtuhumu mtu kwa habari za kusikia sio sawa.
Jifunze kuwatendea wengine kama ambavyoungependa wao wakutendee wewe.
Kwani wewe ukipanga kwake Ndio utajua Maisha yake?
By the way nimechangia ninachojua na wewe umechangia unachojua na huna mamlaka ya kutaka kuandika nikufurahishe kwa kuwa unafahamiana naye hio NO
Who are you?
Unamdefend kwa sababu ati ulikuwa mpangaji wake !
Maaajabu haya
Tatizo mtu akiwa na hela watu wengi wa nahisi ni madawa, ila narudia tena kukwambia kwenye hustle za Maisha Kuna siri nyingi na faulo nyingi znachezwa, tukisema tuzungumzie humu italeta balaaKwani wewe ukipanga kwake Ndio utajua Maisha yake?
By the way nimechangia ninachojua na wewe umechangia unachojua na huna mamlaka ya kutaka kuandika nikufurahishe kwa kuwa unafahamiana naye hio NO
Who are you?
Unamdefend kwa sababu ati ulikuwa mpangaji wake !
Maaajabu haya
Tatizo mtu akiwa na hela watu wengi wa nahisi ni madawa, ila narudia tena kukwambia kwenye hustle za Maisha Kuna siri nyingi na faulo nyingi znachezwa, tukisema tuzungumzie humu italeta balaa
Hivi unajua utajiri wa mb mmja kbla hajawa mb jaluo fulani aliupataje?
Elewa Maisha Yana mambo mengi na vipengele kibao
Ova
Kaa na ukweli wako hatuuhitajiSamahani Mkuu kama nimegusa maslahi yenu
Ila sikupenda nikae kimya wakati naujua ukweli
msikiti wa Mikocheni nyuma ya Tmj kautanua zaidi MaraMimi namfahamu alikuwa mtu Safi......
Sema tulipishana maana Mimi mzee Wa tungi yeye alikuwa mtu wa swala 5
Ila kwenye kusaidia amesaidia wengi
Ova
AmeenSijaelewa hasa unachotaka ni kitu gani kwenye huu uzi mkuu. Umeuliza kila unapoandika watu waseme ukweli kuhusu biashara yake, kwanini unataka kulazimisha mambo ya habari za kusikia? Wewe kama unauelewa ukweli kuhusu biashara yake si uuweke hapa hadharani?
Watu wanaongelea yale waliyoyasadiki, kuyashuhudia na kuyaona. Hizo habari za kusikia hata wewe kuna watu wanasikia mengi kukuhusu lakini kwa vile ni kusikia wanapotezea.
mrangi amekupa ushuhuda wa jinsi alivyomfaham na alivyompa msaada kupata biashara ya kuagiza maziwa.
Mie nakwambia nimepanga na kuishi miaka zaidi ya 9 kwao Msasani na alikua akija kumsabahi Bibi yake karibia kila wiki. Kasaidia watu wengi kwa misaada inayoonekana. Wameenda hija na Mama yake waliporudi kaja kugawa zawadi kwa wote majirani na jamaa zake.
Kwa kuwa umeuliza, subiria wanaoujua kuhusu biashara wakujibu, ila kuendelea kumtuhumu mtu kwa habari za kusikia sio sawa.
Jifunze kuwatendea wengine kama ambavyoungependa wao wakutendee wewe.
Nakumbuka Enzi hzo Kino tulikuwa na team yetu ya Ajax pressure na msembenze tulikipiga nao Sana..... Sema wao walikuwa wanasema team yetu ilikuwa na masela sana na walevimsikiti wa Mikocheni nyuma ya Tmj kautanua zaidi Mara
kipindi cha ujana wake kacheza Msasani magunia timu yao beach boys , Habib middle
Ila jamaa msaada tu katoa
Hahahaha, Mkuu usikute hiyo presha labda watu wa.....walimchungulia ,maswali yakawa magumuMkuu nimeandika kidogo tu ninayoyafahamu
Wadau wake wamenishambulia kama mpira wa kona
Wewe ni mtu mzima Mkuu jiongeze
Kumsema vibaya humu kutawafanya wanaosali kwenye msikiti aliojenga wajisikie vibaya
Acha yapite
Enzi hzo ukipita zim na Gari huruhusiwi kutumia Barabara lazima ukodi lodder uvukishe hadi boda ya msumbiji ndy utambaeeemrangi watoto wa jana hawatoelewa nakumbuka kitambo kile nilikua napiga mishe za tairi used kutoka zim kuleta bongo kupitia msumbiji na muda mwingine zambia, enzi kwa mugabe uchumi unawaka hatari, maziwa unayosema wewe wahuni walikua wanayaiba kwa mohamed musa yule tajiri wa harare yanavushwa boda usiku kwa usiku
Kuna mshikaji wa kundi la akinazingizi baadae alipata mchongo wa kusupply hizo savana kwa bongo nadhani ni mnyakyusa pia nimemaahau nae alitusua nadhani hadi leoatakua ndio agent wa savanna kwa bongo kitambo kidogo kashanitoka
Kundi lake lipi hilo mkuu?