Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

Lazima ujue kuhustle lakini naona kizazi cha vijana wa siku hizi Tanzania hawapendi hata kuvuka border, SH Amon, huyo mbunge ni Airo mtaje tu watu wamevusha magendo ya mrungi sana na cement ya kenya enzi hiyo viwanda bongo hakuna acha tu watu wanatoka mbali na hustle za roho mbaya watu wamecheza sana
S. H amon Ashabinjuka sana boda
Utajiri una siri sana kwa kila mtu
Kwa watu wanaomjua jamaa Ana utajiri sana
S. H amon naye wale aliyo hustle nao amewatoa sana ila wengine ndy vichwa pnzi

Ova
 
S. H amon Ashabinjuka sana boda
Utajiri una siri sana kwa kila mtu
Kwa watu wanaomjua jamaa Ana utajiri sana
S. H amon naye wale aliyo hustle nao amewatoa sana ila wengine ndy vichwa pnzi

Ova

Lile group lao ukifahamiana nao jamaa walikua na roho safi sana wanakuuzia ramani na mtaji ulikua unapewa wengine waliishia kufa kwa kuzidiwa na starehe
 
Airo mashine ile
Mzee Wa darasa la 7

Ova
Lazima ujue kuhustle lakini naona kizazi cha vijana wa siku hizi Tanzania hawapendi hata kuvuka border, SH Amon, huyo mbunge ni Airo mtaje tu watu wamevusha magendo ya mrungi sana na cement ya kenya enzi hiyo viwanda bongo hakuna acha tu watu wanatoka mbali na hustle za roho mbaya watu wamecheza sana
 
Tatizo mtu akiwa na hela watu wengi wa nahisi ni madawa, ila narudia tena kukwambia kwenye hustle za Maisha Kuna siri nyingi na faulo nyingi znachezwa, tukisema tuzungumzie humu italeta balaa
Hivi unajua utajiri wa mb mmja kbla hajawa mb jaluo fulani aliupataje?
Elewa Maisha Yana mambo mengi na vipengele kibao

Ova
Yule mwenye hotel kule jiji lenye ziwa?
 
Airo mashine ile
Mzee Wa darasa la 7

Afu ukiikorofisha siku hizi inakushtaki kwa mwenye nchi ina kiwanda cha pipi na kampuni kubwa za ujenzi inalipa kodi ndefu hatari lakini haiwezi kumfikia shubash ambae kwenye viwanda vya nondo pekee kila mwaka analipa kodi bilioni 50
 
Hahahaha, Mkuu usikute hiyo presha labda watu wa.....walimchungulia ,maswali yakawa magumu

Maana huo msikiti wa mikocheni ni kweli watu wanajua ni yy lkn kuna kibao kinaonesha ni donated toka taasisi Fulani ya kiislamu, ambapo watu wanadai alikua km muwakilishi wao hapa tz ,jamaa wanajenga visima na misikiti na misaada kwa wasiojiweza
Syo wengine wanakuita kwenye Kazi biashara
Alafu wanataka kukupanga
Kna mbongo mmja yuko kitwe hpo
Nammind mpk keshooo
Kama Zambia Unaijua kna sehemu inaitwa musenga.... Iko kama unaelekea chingola

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom