Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

Mimi sio mtata Mkuu wala sina chuki yeyote

Ila ukweli usemwe, huyo ni binadamu wa kawaida km sisi

Sasa mnapoficha yale mabaya yake mnakusudia nini?

Hata kama unaswalia msikiti wake, jua tu mwamba alikuwa monster

Na wala sio vipodozi

Sijaelewa hasa unachotaka ni kitu gani kwenye huu uzi mkuu. Umeuliza kila unapoandika watu waseme ukweli kuhusu biashara yake, kwanini unataka kulazimisha mambo ya habari za kusikia? Wewe kama unauelewa ukweli kuhusu biashara yake si uuweke hapa hadharani?

Watu wanaongelea yale waliyoyasadiki, kuyashuhudia na kuyaona. Hizo habari za kusikia hata wewe kuna watu wanasikia mengi kukuhusu lakini kwa vile ni kusikia wanapotezea.

mrangi amekupa ushuhuda wa jinsi alivyomfaham na alivyompa msaada kupata biashara ya kuagiza maziwa.

Mie nakwambia nimepanga na kuishi miaka zaidi ya 9 kwao Msasani na alikua akija kumsabahi Bibi yake karibia kila wiki. Kasaidia watu wengi kwa misaada inayoonekana. Wameenda hija na Mama yake waliporudi kaja kugawa zawadi kwa wote majirani na jamaa zake.

Kwa kuwa umeuliza, subiria wanaoujua kuhusu biashara wakujibu, ila kuendelea kumtuhumu mtu kwa habari za kusikia sio sawa.

Jifunze kuwatendea wengine kama ambavyoungependa wao wakutendee wewe.
 
Ya kweli mkuu au ni propaganda tu kwa wenye kufanikiwa? Utasikia freemasons sijui nini na nini
 
mrangi ni kichwa hasa huwa namkubali sana, kungekuwa na mapendekezo ya kuingiza watu kwenye idara fulani huyu angefaa maana Dar anaijua in and out pia na watu maarufu, majambazi, matapeli, wauza ngada na matajiri wote anawajua na hustle zao...

Ingawa naona hapa kwa huyu jamaa umeamua kuficha baadhi ya mambo, haiingii akilini mtu atoke kuuza mgahawa aibuke kuwa tajiri ghafla. Kwa namna yoyote huyu bwana alijihusisha na madawa ya kulevya au biashara nyingine iliyompa ukwasi kwa ghafla hivyo...

Huyu jamaa ni very potential maana taarifa nyingi nyeti anazo...

Salute popote ulipo...
Cc mrangi
 
Nimeishi kama mpangaji kwenye nyumba yao Msasani, karibu na Capetown Fish Market wakati huo ikijulikana kama Irish Pub.

Hawakuwahi kupangisha mtu wa dini ya Kikristo isipokua mimi na nilikua mpangaji wa mwisho kwenye ile nyumba. Niliishi nao vizuri tukawa kama ndugu tukaelewana nao sana. Aliwajali sana familia na ndugu zake. Hakua mtu wa maneno mengi, mkimya sana. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua kwenye msiba wa mdogo wao aliyeuwawa na wezi akiwa anafunga duka lake.

Mama yao Bi top yuko magomeni na ndipo msiba ulipokua. Msiba huu ni pigo kwa famia. Nyumba zao za Msasani ni yeye alikua akizuia zisiuzwe. Aliamua kuwaweka wajomba na ndugu zao wengine pale.
Moja iko barabarani kabisa na nyingine karibu na msikiti wa Msasani kwa wavua samaki.

Mengine ntanyamaza ila kwa hayo machache alikua mtu wa watu sana. mrangi nimekuelewa sana. Pia kwenye msiba wa mdogo wake Zingizi (Haroun) nilishangaa kukutana na Jimmy CM kitu kilichofanya nianze kujiuliza maswali kuhusu fununu kwamba marehem alikua wale ndugu zetu.

Kuhusu biashara zake kuna mengi sana yalikua yanasemwa lakini kwa vike haikua ikinihusu, sikuwahi kufuatilia wala kutaka kujua ukweli wake.
Kuhusu kuwa karibu na ile familia ya huyo jimmy CM,iliinunua nyumba yao pale kawe.
 
Kwani wewe ukipanga kwake Ndio utajua Maisha yake?

By the way nimechangia ninachojua na wewe umechangia unachojua na huna mamlaka ya kutaka kuandika nikufurahishe kwa kuwa unafahamiana naye hio NO

Who are you?

Unamdefend kwa sababu ati ulikuwa mpangaji wake !

Maaajabu haya

Sijaelewa hasa unachotaka ni kitu gani kwenye huu uzi mkuu. Umeuliza kila unapoandika watu waseme ukweli kuhusu biashara yake, kwanini unataka kulazimisha mambo ya habari za kusikia? Wewe kama unauelewa ukweli kuhusu biashara yake si uuweke hapa hadharani?

Watu wanaongelea yale waliyoyasadiki, kuyashuhudia na kuyaona. Hizo habari za kusikia hata wewe kuna watu wanasikia mengi kukuhusu lakini kwa vile ni kusikia wanapotezea.

mrangi amekupa ushuhuda wa jinsi alivyomfaham na alivyompa msaada kupata biashara ya kuagiza maziwa.

Mie nakwambia nimepanga na kuishi miaka zaidi ya 9 kwao Msasani na alikua akija kumsabahi Bibi yake karibia kila wiki. Kasaidia watu wengi kwa misaada inayoonekana. Wameenda hija na Mama yake waliporudi kaja kugawa zawadi kwa wote majirani na jamaa zake.

Kwa kuwa umeuliza, subiria wanaoujua kuhusu biashara wakujibu, ila kuendelea kumtuhumu mtu kwa habari za kusikia sio sawa.

Jifunze kuwatendea wengine kama ambavyoungependa wao wakutendee wewe.
 
Kwani wewe ukipanga kwake Ndio utajua Maisha yake?

By the way nimechangia ninachojua na wewe umechangia unachojua na huna mamlaka ya kutaka kuandika nikufurahishe kwa kuwa unafahamiana naye hio NO

Who are you?

Unamdefend kwa sababu ati ulikuwa mpangaji wake !

Maaajabu haya

Hujaelewa nikichoandika au haujasoma vizuri. Sina shida na ulichokuandika kwa jinsi unavyomfaham. Tatizo linakuja hapa, unahimiza au kulazimisha watu wataje biashara yake na waseme ukweli, nikichosema subiria wanaojya huo ukweli wauseme, vuta subra, kama wapo na wanaujua ukweli watauwrka hapa hadharani.

Au kama wewe unaujua ukweli uweke hapa, kwani shida iko wapi?

Watu wanaishi nyumba moja na hawafahamiani vizuri itakuja kuwa mie mpangaji? Siwezi kumfaham kila kitu. Lakini nimejibu na kyandika kwa mujib wa mleta uzi aliyetaka kumfaham zaidi Zingizi.

Nilichokiandika ni kitu nba uhakika nacho kwa kadri nilivyomfaham, nawewe weka hapa hicho unachokifaham, mbona mambo marahisi tu?
 
Kwani wewe ukipanga kwake Ndio utajua Maisha yake?

By the way nimechangia ninachojua na wewe umechangia unachojua na huna mamlaka ya kutaka kuandika nikufurahishe kwa kuwa unafahamiana naye hio NO

Who are you?

Unamdefend kwa sababu ati ulikuwa mpangaji wake !

Maaajabu haya
Tatizo mtu akiwa na hela watu wengi wa nahisi ni madawa, ila narudia tena kukwambia kwenye hustle za Maisha Kuna siri nyingi na faulo nyingi znachezwa, tukisema tuzungumzie humu italeta balaa
Hivi unajua utajiri wa mb mmja kbla hajawa mb jaluo fulani aliupataje?
Elewa Maisha Yana mambo mengi na vipengele kibao

Ova
 
mrangi watoto wa jana hawatoelewa nakumbuka kitambo kile nilikua napiga mishe za tairi used kutoka zim kuleta bongo kupitia msumbiji na muda mwingine zambia, enzi kwa mugabe uchumi unawaka hatari, maziwa unayosema wewe wahuni walikua wanayaiba kwa mohamed musa yule tajiri wa harare yanavushwa boda usiku kwa usiku
 
Lazima ujue kuhustle lakini naona kizazi cha vijana wa siku hizi Tanzania hawapendi hata kuvuka border, SH Amon, huyo mbunge ni Airo mtaje tu watu wamevusha magendo ya mrungi sana na cement ya kenya enzi hiyo viwanda bongo hakuna acha tu watu wanatoka mbali na hustle za roho mbaya watu wamecheza sana
 
Tatizo mtu akiwa na hela watu wengi wa nahisi ni madawa, ila narudia tena kukwambia kwenye hustle za Maisha Kuna siri nyingi na faulo nyingi znachezwa, tukisema tuzungumzie humu italeta balaa
Hivi unajua utajiri wa mb mmja kbla hajawa mb jaluo fulani aliupataje?
Elewa Maisha Yana mambo mengi na vipengele kibao

Ova

Kuna mshikaji wa kundi la akinazingizi baadae alipata mchongo wa kusupply hizo savana kwa bongo nadhani ni mnyakyusa pia nimemaahau nae alitusua nadhani hadi leoatakua ndio agent wa savanna kwa bongo kitambo kidogo kashanitoka
 
Mimi namfahamu alikuwa mtu Safi......
Sema tulipishana maana Mimi mzee Wa tungi yeye alikuwa mtu wa swala 5
Ila kwenye kusaidia amesaidia wengi

Ova
msikiti wa Mikocheni nyuma ya Tmj kautanua zaidi Mara
kipindi cha ujana wake kacheza Msasani magunia timu yao beach boys , Habib middle

Ila jamaa msaada tu katoa
 
Sijaelewa hasa unachotaka ni kitu gani kwenye huu uzi mkuu. Umeuliza kila unapoandika watu waseme ukweli kuhusu biashara yake, kwanini unataka kulazimisha mambo ya habari za kusikia? Wewe kama unauelewa ukweli kuhusu biashara yake si uuweke hapa hadharani?

Watu wanaongelea yale waliyoyasadiki, kuyashuhudia na kuyaona. Hizo habari za kusikia hata wewe kuna watu wanasikia mengi kukuhusu lakini kwa vile ni kusikia wanapotezea.

mrangi amekupa ushuhuda wa jinsi alivyomfaham na alivyompa msaada kupata biashara ya kuagiza maziwa.

Mie nakwambia nimepanga na kuishi miaka zaidi ya 9 kwao Msasani na alikua akija kumsabahi Bibi yake karibia kila wiki. Kasaidia watu wengi kwa misaada inayoonekana. Wameenda hija na Mama yake waliporudi kaja kugawa zawadi kwa wote majirani na jamaa zake.

Kwa kuwa umeuliza, subiria wanaoujua kuhusu biashara wakujibu, ila kuendelea kumtuhumu mtu kwa habari za kusikia sio sawa.

Jifunze kuwatendea wengine kama ambavyoungependa wao wakutendee wewe.
Ameen
 
msikiti wa Mikocheni nyuma ya Tmj kautanua zaidi Mara
kipindi cha ujana wake kacheza Msasani magunia timu yao beach boys , Habib middle

Ila jamaa msaada tu katoa
Nakumbuka Enzi hzo Kino tulikuwa na team yetu ya Ajax pressure na msembenze tulikipiga nao Sana..... Sema wao walikuwa wanasema team yetu ilikuwa na masela sana na walevi

Ova
 
Mkuu nimeandika kidogo tu ninayoyafahamu
Wadau wake wamenishambulia kama mpira wa kona

Wewe ni mtu mzima Mkuu jiongeze

Kumsema vibaya humu kutawafanya wanaosali kwenye msikiti aliojenga wajisikie vibaya

Acha yapite
Hahahaha, Mkuu usikute hiyo presha labda watu wa.....walimchungulia ,maswali yakawa magumu

Maana huo msikiti wa mikocheni ni kweli watu wanajua ni yy lkn kuna kibao kinaonesha ni donated toka taasisi Fulani ya kiislamu, ambapo watu wanadai alikua km muwakilishi wao hapa tz ,jamaa wanajenga visima na misikiti na misaada kwa wasiojiweza
 
mrangi watoto wa jana hawatoelewa nakumbuka kitambo kile nilikua napiga mishe za tairi used kutoka zim kuleta bongo kupitia msumbiji na muda mwingine zambia, enzi kwa mugabe uchumi unawaka hatari, maziwa unayosema wewe wahuni walikua wanayaiba kwa mohamed musa yule tajiri wa harare yanavushwa boda usiku kwa usiku
Enzi hzo ukipita zim na Gari huruhusiwi kutumia Barabara lazima ukodi lodder uvukishe hadi boda ya msumbiji ndy utambaeee
Zim walikuwa na uchumi imara

Ova
 
Picha inakuja huyo

Ova
Kuna mshikaji wa kundi la akinazingizi baadae alipata mchongo wa kusupply hizo savana kwa bongo nadhani ni mnyakyusa pia nimemaahau nae alitusua nadhani hadi leoatakua ndio agent wa savanna kwa bongo kitambo kidogo kashanitoka
 
Kundi lake lipi hilo mkuu?

Sasa kama kundi lake hukuwahi kulifahamu wewe hujawahi kua mpambanaji, tafuta wayback 1988 hadi 1995 hadi 2003 kwenda 2010 kulikua na kundi la wabongo waliotafuta pesa afrika kusini, zimbabwe, zambia hao watu walikua wanakuja na vipodozi halafu wanaenda na maharage kuyauza angola hao ndio waliopata michongo ya kuleta bidhaa za maziwa bongo na ndio walianza kuleta matunda ya apple bongo na ndio walianza kuleta magari ya kisouth kizaZi cha nyuma ya akina zingizi ni mzee mmoja wa kipemba anazaliwa mitaa ya amani zanzibar ndio waliowauzia wengine ramani
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom