Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

Hakika kuna watu wameishi maisha yao katika mienendo ambayo inastaajabisha sana haswa katika ulimwengu huu wa sasa sikuwahi kumfahamu kwa ukaribu saana ila kifo chake kimeniskitisha mno hakika ni mfano wa kuigwa kwa jamii ya yetu Inna lillah waina illaih rajiun.
 
Sawa marehemu hasemwi vibaya

Ila amini biashara yake iliyomtoa sio hiyo

Huyo alikuwa monster haswa nyuma ya pazia

Usidanganywe na kanzu

Pale magomeni kanisani alinusuruka...
kwanini wewe ni mtu wa hukumu tu? kwamba hakuna watu waliotoboa maisha kwa njia za halali na kusaidia jamii ? ujuaji mwingine hauna msingi kiufupi si lazima tuone comment yako kila mahali muda mwingine busara huitajika zaidi kuliko emotions.
 
Mimi sijajiita mjuaji wala mimi sio mjuaji

Ila nimecoment ninachojua

Kama imekuuma
Chukua jiwe zito funga shingoni nenda pale baharini ujindumbukize

Raynavero atalipwa kwa matendo mazuri?
Je mabaya?

Watanzania tuache unafiki huku tunajua ukweli

Unafiki haufai, kila mtu apewe sifa anazostahili

Huyo mtu mnavyompamba hadi malaika wanakasirika
basi tuonyeshe mabaya yake tuyajue , kumbuka hakuna asiye na mapungufu kama binaadamu kama alitenda mema kwanin yasizungumzwe alaf mbona unaumia hivi, kwema?
 
Ukiwa mtoaji lazima utaombolezwa Mkuu

Hakuna asiyependa kusaidia ila kipato kidogo Ndio kinakwamisha
Hakika kuna watu wameishi maisha yao katika mienendo ambayo inastaajabisha sana haswa katika ulimwengu huu wa sasa sikuwahi kumfahamu kwa ukaribu saana ila kifo chake kimeniskitisha mno hakika ni mfano wa kuigwa kwa jamii ya yetu Inna lillah waina illaih rajiun.
 
Mimi sijajiita mjuaji wala mimi sio mjuaji

Ila nimecoment ninachojua

Kama imekuuma
Chukua jiwe zito funga shingoni nenda pale baharini ujindumbukize
watu kama nyie deep down mna maumivu mno ambayo hujui nani akusaidie ndio mnaishia kua mashujaa nyuma ya keybord kujipa faraja this wont help you kabisa simamia panapohitaji usmamie sio unaletwa na emotions tu wakati huwez kujitetea acha kuishi kwa dhana tu
 
Mimi ilinibidi nicoment Baada ya wadau kusema alitajirika kupitia duka lake lile la vipodozi!

Hadi nikashituka
basi tuonyeshe mabaya yake tuyajue , kumbuka hakuna asiye na mapungufu kama binaadamu kama alitenda mema kwanin yasizungumzwe alaf mbona unaumia hivi, kwema?
 
Ukiwa mtoaji lazima utaombolezwa Mkuu

Hakuna asiyependa kusaidia ila kipato kidogo Ndio kinakwamisha
hakika hujielewi mkuu sasa tatzo liko wapi kama alikua na pesa za kuwasaidia wengne why unaona taabu jaman kiufupi mola ameshachkua kiumbe chake ya kheri aliofanya hayatafutika milele kwa jamii nashangaa kwanin imekua big deal kwako
 
Big deal kivipi Mkuu
Mimi nimecoment kama walivyo comment wengine,Mbona umeniandama mimi?

Kosa langu ni lipi?

Samahani Mkuu kama nimegusa maslahi yenu
Ila sikupenda nikae kimya wakati naujua ukweli
watu kama nyie deep down mna maumivu mno ambayo hujui nani akusaidie ndio mnaishia kua mashujaa nyuma ya keybord kujipa faraja this wont help you kabisa simamia panapohitaji usmamie sio unaletwa na emotions tu wakati huwez kujitetea acha kuishi kwa dhana tu
 
Big deal kivipi Mkuu
Mimi nimecoment kama walivyo comment wengine,Mbona umeniandama mimi?

Kosa langu ni lipi?
nna hakika humfahamu huyu mtu na unaongea kama una uhakika mie naheshimu mawazo yako mkuu lakin pale yanapostahili tu kwani ni wangapi wanaenziwa mpaka leo duniani pamoja na mapungufu yao kibinaadam.
 
Alikuwa pia akitoa misaada kwa jamii
Kuna msikiti uko nyuma ya tmj yeye aliujenga kwa Gharama zake mwenyewe, kwa kifupi jamaa hakuwa na mkono mfupi kama una line au shida ukimsemesha akikuelewa anakutoa
Kwa kifupi mm binafsi nlikuwa namjua tokea anakaa kwao msasani kitambo kile tokea anauza kwenye mgahawa wake badaye a kaingia kwenye biashara ya vipodozi Mara paap a kapiga sana Hela, alikuwa na team Ile ya kina sauli

Ova

Sema wale kundi lao miaka ile wamepiga sana pesa kwenye vipodozi feki na walifanya kazi hasa miaka ile ndio kilichowatoa baadae wakaanza biashara halali kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom