Natamani Kujiua

Natamani Kujiua

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
1,460
Reaction score
1,476
Habari wanaJF, kama heading inavyosomeka hapo juu, mimi ni kijana wa miaka 29, nimeajiriwa, kazi imenitenganisha na familia,( mzazi mmoja ambaye ni mama, maana baba alifariki kipindi nikiwa mdogo, nimekua mlevi kupindukia, simu sipigi nyumbani, hela siioni inakoelekea, mama sina mahusiano nae mazuri, mahusiano yangu hayaeleweki.

Misuko suko kibao, ajali haziishi, sioni wapi naelekea, asubuhi ya leo wakati natoka club , nikiwa na mwanamke niliempata huko, nimepata ajali mbaya sana, nimepata majeraha madogo tu, ila gari imeumia sana, na kwa vile nilikua nimelewa, nikampigia gf wangu akaja kushughulikia kuivuta gari, mimi na yule mwanamke tukawa tumeshaondoka, hata sikufikiria kama nitakutwa.

Mbaya zaidi nikafumaniwa na yule mwanamke, ilikua aibu tupu mtaani, naona siheshimiki tena, nyumba ninayoishi ni ofisi nipo na baadhi ya staff wenzangu wapo na familia zao, sijatoka nje siku nzima ya leo, kilicho kichwani kwangu ni kujiua tu, sitamani tena kuishi, why always me? Nimemkosea nini mungu, najua natenda dhambi, ila niende huko labda nitapumzika. Samahanini kwa maelezo yangu marefu.

Ila hili lipo moyoni mwangu na lazima nilitekeze, napokea maoni yenu wadau, nakosea wapi?
 
Unapaswa kutambua chanzo cha yote ni nini? Nn sababu ilikupelekea uwe mlevi? Usiwe na mahusiano mazur na mama yako na hayo mengine

Rudi kamuombe mama yako msamaha, muangukie na msamaha wako uwe n wenye kumaanisha

Punguza pombe taratibu hatimae utaweza kuacha kabisa huku ukiwa umedhamiria moyoni mwako,

Usijiue kujiua sio suluhisho wala
 
Ww haujui tatizo nn tu ikiwa maisha yk hayaeleweki alafu unataka baraka
 
Habari Wana JF, Kama Heading Inavyosomeka Hapo Juu, Mimi Ni Kijana wa Miaka 29, Nimeajiriwa, Kazi Imenitenganisha Na Familia,( Mzazi Mmoja ambaye Ni Mama, Maana Baba Alifariki Kipindi Nikiwa Mdogo, Nimekua Mlevi Kupindukia, Simu Sipigi Nyumbani, Hela Siioni Inakoelekea, Mama Sina Mahusiano Nae Mazuri, Mahusiano Yangu Hayaeleweki.
Misuko Suko Kibao, Ajali Haziishi, Sioni Wapi Naelekea, Asubuhi ya Leo Wakati Natoka Club , Nikiwa Na Mwanamke Niliempata Huko, Nimepata Ajali Mbaya Sana, Nimepata Majeraha Madogo Tu, Ila Gari Imeumia Sana, Na Kwa Vile Nilikua Nimelewa, Nikampigia GF Wangu Akaja Kushughulikia Kuivuta Gari, Mimi Na Yule Mwanamke Tukawa Tumeshaondoka, Hata Sikufikiria Kama Nitakutwa.

Mbaya Zaidi Nikafumaniwa Na Yule Mwanamke, Ilikua Aibu tupu Mtaani, Naona Siheshimiki Tena, Nyumba Ninayoishi Ni Ofisi Nipo Na Baadhi ya Staff Wenzangu wapo Na Familia Zao, Sijatoka Nje Siku Nzima ya Leo, Kilicho Kichwani Kwangu Ni Kujiua Tu, Sitamani Tena Kuishi, WHY ALWAYS ME? Nimemkosea Nini Mungu, Najua Natenda Dhambi, Ila Niende Huko Labda Nitapumzika. Samahanini Kwa Maelezo Yangu Marefu
Ila Hili Lipo Moyoni Mwangu na Lazima Nilitekeze, Napokea Maoni Yenu Wadau, NAKOSEA WAPI?
Umekosea kudhani ulevi ndo unaondoa upweke. Acha Pombe
 
Nimejikuta nimecheka hasa pale hela hujui zinaenda wapi na mlevi tena wa kuokota wanawake club..
Mi naona usijiue kwanza maana israel mwenyewe anakunyemelea,naomba usiingilie majukumu yake
 
Jaribu kutafuta chanzo cha matatizo yote, ni nini. Halafu Fanya mabadiliko.

Kama huna furaha kazini, au eneo unaloishi badilisha. Kama una tatizo emotional, au psychological tafuta wataalamu wakusaidie.

Kumbuka pia kuna wengi wamepitia kama hali yako, lakini wakaweza kubadilisha maisha yao.

Omba msaada Kwa Mungu, fikiria mama yako utakavyomuumiza kama ukichukua huu uamuzi.

Sasa utakuwa very emotional and down lakini, with time will get better.
 
Sasa ww unaendekeza mchawi mkuu wa maendeleo "gambe" harafu unalialia eti hujui who is behind yo failure? Utakuwa hauko serious.
 
Mungu anasema waheshimu Baba na Mama upate miaka mingi na yenye heri, Kumbe usipo waheshimu hutaishi miaka Mingi na ukiishi Haitakuwa na Heri itakuwa ya misukosuko.

Mzazi ni mzazi tu Ata awe namna gani pia tambua wazi ni jukumu lako kumlea kwa sasa.
Badilika watu watabaki alikuwaga mlevi alikuwaga Malaya na nk ila kwa sasa ni __________.
Tatizo lako ni dogo mno ukiamua.Kaka kuna watu wenye mizigo mizito ukikutana naye Utajizaba Makofi utakavyo jiona Mjinga
Zaidi sana ww Bado ni wa Dhamani sana Mbele za MUNGU Hakuna Dhambi kubwa kama kukata Tamaa.Asante
 
Habari Wana JF, Kama Heading Inavyosomeka Hapo Juu, Mimi Ni Kijana wa Miaka 29, Nimeajiriwa, Kazi Imenitenganisha Na Familia,( Mzazi Mmoja ambaye Ni Mama, Maana Baba Alifariki Kipindi Nikiwa Mdogo, Nimekua Mlevi Kupindukia, Simu Sipigi Nyumbani, Hela Siioni Inakoelekea, Mama Sina Mahusiano Nae Mazuri, Mahusiano Yangu Hayaeleweki.
Misuko Suko Kibao, Ajali Haziishi, Sioni Wapi Naelekea, Asubuhi ya Leo Wakati Natoka Club , Nikiwa Na Mwanamke Niliempata Huko, Nimepata Ajali Mbaya Sana, Nimepata Majeraha Madogo Tu, Ila Gari Imeumia Sana, Na Kwa Vile Nilikua Nimelewa, Nikampigia GF Wangu Akaja Kushughulikia Kuivuta Gari, Mimi Na Yule Mwanamke Tukawa Tumeshaondoka, Hata Sikufikiria Kama Nitakutwa.

Mbaya Zaidi Nikafumaniwa Na Yule Mwanamke, Ilikua Aibu tupu Mtaani, Naona Siheshimiki Tena, Nyumba Ninayoishi Ni Ofisi Nipo Na Baadhi ya Staff Wenzangu wapo Na Familia Zao, Sijatoka Nje Siku Nzima ya Leo, Kilicho Kichwani Kwangu Ni Kujiua Tu, Sitamani Tena Kuishi, WHY ALWAYS ME? Nimemkosea Nini Mungu, Najua Natenda Dhambi, Ila Niende Huko Labda Nitapumzika. Samahanini Kwa Maelezo Yangu Marefu
Ila Hili Lipo Moyoni Mwangu na Lazima Nilitekeze, Napokea Maoni Yenu Wadau, NAKOSEA WAPI?
Kwenye maelezo yako inaonyesha wewe mwenyewe ni tatizo unalewaje afu bado unaendelea kuendesha gari kama sio kujitakia ajali ni nini?

Mama yako hampo kwenye mahusiano mazuri unategemea nini kama sio mikosi. Patana na mama yako.

Kuwa na hofu ya Mungu punguza au acha kabisa kumcheat GF wako
 
Kama mkristo jitahidi kutoa fungu la kumi maana bila hivyo biblia inasema utakuwa unaweka akiba kwenye mifuko iliyo toboka, ukitoa fungu la kumi Mungu anaahidi kukumimia baraka hata ukose sehemu ya kuziweka, na atamkemea yeyote alaye vile ulivyovitafuta
 
Ungeiuliza hiyo pombe hela zako zinaenda wapi?
Halafu ukipata jibu nenda kamuangukie Mama yako miguuni umuombe akuombee sana

Yote ukishindwa au ukawa kichwa maji sumu ya panya ipo ni buku tu au kamba ni jero tu na sehemu ya kunyoosha miguu ni bure kwenye mti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom