Hivi watu wa hum mbona mna midomo michafu sana? Mimba alizochoropoa ulimpa wewe au wewe ndo ulimchoropoa? Hebu kuwa na adabu umezaliwa na mwanamke wewe
Hivi watu wa hum mbona mna midomo michafu sana? Mimba alizochoropoa ulimpa wewe au wewe ndo ulimchoropoa? Hebu kuwa na adabu umezaliwa na mwanamke wewe
Yap umenigusa. Nawachukia watu wanaogeneralize maisha yao kuwa maisha ya kila mtu....kwa sababu wewe ulizaliwa kwa bahati mbaya baada ya mama yako kujaribu kukuchoropoa mara kadhaa basi unahisi hayo ndo maisha ya kila mwanamke unakosea sana