Natamani kuishi kama Diamond Platnumz

Natamani kuishi kama Diamond Platnumz

Inabidi uelewe kwanza maana ya NDOA,then utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuelewa
 
Ndoa ni kwa ajili ya wanawake tu, ni kivuli cha wanawake kukunyonya kwa kisingizio cha watoto…. ukizeeka au watoto wakiwa wakubwa huna maana kabisa ndo utajua.
Jitahidi usiwe masikini uzeeni
 
Ndoa ni kwa ajili ya wanaume wenye akili tu jamani tutaongea hadi lini
Majinga ndo yanaongoza kuoa/kuolewa na ndo yanadumu kwenye ndoa! Kifupi ndoa ni kwaajili ya masikini na wajinga.
 
Kama wewe ungezaliwa nje ya ndoa usingeweza kutambua uwepo wa jf.Washukuru mama yako na baba yako kwa kukupa malezi Bora Hadi ukafika hapo ulipo.

Achana na mawazo ya kishetani, hujui labda Diamond anafata masharti ya wakubwa zake.
Heeeh! Ndomana nasema ndoa ni kwaajili ya wajing. Sasa kulelewa na baba na mama ndo tiketi ya kujiunga JF!!!?? Wewe ni mfano bora wa walio ndoani.
VIJANA MSIOE.
 
Heeeh! Ndomana nasema ndoa ni kwaajili ya wajing. Sasa kulelewa na baba na mama ndo tiketi ya kujiunga JF!!!?? Wewe ni mfano bora wa walio ndoani.
VIJANA MSIOE.
Tatizo vijana tunavowambia wasioe wanafikili sisi wazinzi au hatuna akili😁Inapaswa waelewe tunamaanisha nin tunavosema hatutaoa
 
Kutochepuka hasa kwa wanawake sio kiti rahisi wakuu.
Hawa watu wanatongozwa kila leo, utaoa sura mbovu ukiamini wauni hawatomtamani ila wapi wajuba wanapita nae hata awe na kasoro gani.

Ishini nao kwa akili tu, hiyo ya kutaka awe na ww tu ni ngumu. Kikubwa akiheshimu na hizo mbilinge zake afanye juu chini usijue.
 
Back
Top Bottom