Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,418
- 29,432
Ndoa ni kwaajili ya wenye ukomavu wa akili tu. Ova
Hamna lolote tushawastukia, ndoa ni tanuri la kukamua wanaume.
Ndoa ni kwaajili ya wenye ukomavu wa akili tu. Ova
This is offense inaonekana wewe ndiye una matatizo ya akiliNdoa ni kwa ajili ya watu wenye akili timamu. Wewe endelea kuwa mwehu badal ya kutafuta mtaalam wa akili akutibu.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Mnamaanisha nini?
Mnamaanisha nini?
Wanafikili sisi mafala😂ndoa zilikua zamani bana sa hiv hamna kituHamna lolote tushawastukia, ndoa ni tanuri la kukamua wanaume.
Yesu mwenyewe hakuoa,waache ujingaSio kweli newton hakuoa kwa hiyo nayeye hakua na akili
Mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamna lolote tushawastukia, ndoa ni tanuri la kukamua wanaume.
Uhuru ulionao kabla ya kuoa una thamani kubwa mno, unakupa nafasi ya kufurahia maisha, kupanga na kukamilisha ndoto zako kwa uhuru na amani bila kumfikiria mtu mwingine ambaye huenda ndoto zake zikawa tofauti na zako. Kifupi kufanikiwa kimaisha ukiwa single ni rahisi zaidi ya kufanikiwa ndani ya ndoa. Ndoa zimejaa stress na kila aina ya sababu zinazoweza kupora furaha ya mtu na kukatisha ndoto zake.Mnamaanisha nini?
Ndoa ni Kwa ajili ya wanaume hasa nyinyi watoto endeleeni kucheza cheza giza likiingia mrudi nyumbaniNatamani saana kuishi maisha kama ya Diamond kwenye mausiano. Katika dunia hii kama kuna watu ambao wanaogopa ndoa nafikiri mimi number one!
Naogopa kuoa saana, sio kwamba sijawahi kuoa hapana. Niliwahi kuoa na kuwa kwenye mausiano na wanawake tofauti nilijikuta nina nyota ya kenge tu natunza wenzangu wanachukua.
Mapenzi mazuri saana ila usipo kuwa makini unaweza kujikuta kaburini. Hayana formula haya sijui fanya hivi fanya hivi ni bure. Mwenzenu nilipaka mpaka vumbi ya Kongo ili warizike lakini wapi! Nikijitahidi kutunza lakini wapi!
Kwasasa nimebaki na jibu moja tu moyoni, mwangu ni kupiga mimba na kutunza watoto wangu tu swala la kuoa tunasubiri tufike miaka 55 Mungu akitujalia.
Fanya utafiti wako vizuri utagundua wajinga wengi ndo wanaokimbilia ndoa na kweli wanadumu ndoani sababu ya ujinga wao. Tembelea uswahilini na vijijini utakuta vijana wengi masikini na wasio na elimu wameoa na wanafurahia maisha yao (japo kiuhalisia wanafarijiana ila ukweli ni kuwa wanaishi katika dimbwi la ufukara na kukosa matumaini)Ndoa ni kwaajili ya wenye ukomavu wa akili tu. Ova
Ndoa ni kwaajili ya wajinga na mafukara.Ndoa ni Kwa ajili ya wanaume hasa nyinyi watoto endeleeni kucheza cheza giza likiingia mrudi nyumbani
Hahaa sawa.Uhuru ulionao kabla ya kuoa una thamani kubwa mno, unakupa nafasi ya kufurahia maisha, kupanga na kukamilisha ndoto zako kwa uhuru na amani bila kumfikiria mtu mwingine ambaye huenda ndoto zake zikawa tofauti na zako. Kifupi kufanikiwa kimaisha ukiwa single ni rahisi zaidi ya kufanikiwa ndani ya ndoa. Ndoa zimejaa stress na kila aina ya sababu zinazoweza kupora furaha ya mtu na kukatisha ndoto zake.
NB: Msalimieni Manara
💯🤝 mimi binafsi nimekuelewa na ni shuhuda wa hiloUhuru ulionao kabla ya kuoa una thamani kubwa mno, unakupa nafasi ya kufurahia maisha, kupanga na kukamilisha ndoto zako kwa uhuru na amani bila kumfikiria mtu mwingine ambaye huenda ndoto zake zikawa tofauti na zako.
Mkuu mimi sio mjinga na nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8Fanya utafiti wako vizuri utagundua wajinga wengi ndo wanaokimbilia ndoa na kweli wanadumu ndoani sababu ya ujinga wao. Tembelea uswahilini na vijijini utakuta vijana wengi masikini na wasio na elimu wameoa na wanafurahia maisha yao (japo kiuhalisia wanafarijiana ila ukweli ni kuwa wanaishi katika dimbwi la ufukara na kukosa matumaini)
Yesu nae hakuwa na akili timamu? Acheni kujichetua saiz kila mtu ashinde mechi zake kuoa ni kujiongezea matatizo ili baadae mkimbilie kugawana maliNdoa ni kwa ajili ya watu wenye akili timamu. Wewe endelea kuwa mwehu badal ya kutafuta mtaalam wa akili akutibu.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
U killed it. Kula bia mahali mkuu...bili nitumie inboboNdoa ni kwa ajili ya watu wenye akili timamu. Wewe endelea kuwa mwehu badal ya kutafuta mtaalam wa akili akutibu.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Kwa Mwamposa ana mke?Hali ni mbaya sio mitaani sio maeneo ya kazi wadada wanataka ndoa wanakesha kwa nabii wao Mwamposa awape upako waolewe