Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Sijajua aisee ngoja wafuasi wake wajeKwa Mwamposa ana mke?
Sijajua aisee ngoja wafuasi wake wajeKwa Mwamposa ana mke?
[emoji38]Kwa hiyo unajikuta upo JF sababu baba Yako alifunga ndoa na mama Yako?
Ukiwa wa jinsia hyo lazima uipiganie kufa na kupona ,laiti ungekua na jinsia me uone utapeli uliopo kwenye ndoa.Ndoa ni kwa ajili ya watu wenye akili timamu. Wewe endelea kuwa mwehu badal ya kutafuta mtaalam wa akili akutibu.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Moja ya ishara ya kuwa na kizazi cha wanaume dhaifu na waoga ni pale kundi kubwa la wanaume kukataa ndoa baada ya mda tutakua na jamii ya hovyo sanaUkiwa wa jinsia hyo lazima uipiganie kufa na kupona ,laiti ungekua na jinsia me uone utapeli uliopo kwenye ndoa.