Natamani kuhama siti....

Natamani kuhama siti....

kumbuka na tabasamu Lake na ukarimu sio unamuhukumu kwa kasoro zake tuu
 
huyu alieleta mada hapa anaonekana mtafuta kiki tu kwa uzoefu wangu mimi mwanamke atanuka kwapa tu lakini harufu ya K.. mpaka avue chupi lakini sio kama anavyosema jamaa.........huo ni udhalilishaji kwakweri fikiria kama angekuwa dada yako ungefanya hivi kweri...KAMA NINGEKUWA NA UWEZO WA KUMBROCK HUYU BAC NINGEFANYA HIVYO
 
Kuna wanaume na vijanaume kwakweli sio kwa umbea huu khaa
Na usihame siti tulizana km vp msaidie manukato ulonayo ww SHWAINI
 
Habari ya asubuhi wadau.... Niko ndani ya gari la abiria, natoka Dar naelekea Arusha... Hali ya hewa ni nzuri kabisa, ubaridi ukichagizwa na rasharasha za mvua....

Safari yangu imeanzia Ubungo, baada ya kuingia kwenye gari nimepokelewa na bashabasha la tabasamu na jirani wa siti yangu, binti kazuri tu, nikaona nina bahati kumpata jirani ambaye anaonyesha ataifanya Safari yangu niione fupi kabisa.

Maana unaweza fika kwenye siti ukamkuta jirani wa siti yako Kama kalishwa ndimu vile, lakini huyu dada yuko vizuri kabisa.

Sasa licha ya mapokezi matamu na uchangamfu wake, mpaka sasa tuko Chalinze, lakini nimeanza kuchoshwa na harufu mbaya ya huyu dada, yaani hili sio kwapa, kwa umri wangu na uzoefu wa hizi harufu, nina hakika kabisa hii ni harufu ya K -kisheti.. Kwakweli Safari naanza kuiona ndefu mno,.... Nimegeuza geuza macho yangu labda ingewepo nafasi ya siti wazi niombe nihamie,. Lakini nimefeli.

Sasa najiuliza hivi asubuhi hii ametoka kuamka, ameoga, kajipodoa,... Na hali ya hewa wala sio ya joto.. Tatizo laweza kuwa ni nini jamani,.. Yaani natamani kuhama siti kwakweli.
 
Mi nnavyopendaga harufu ya K ningemuomba nilale kwenye mapaja yake ili niipate MUBASHARA
 
Unataka sisi tuchangie mada wakati hatumjui huyo dada, what if nikachangia kwa kebehi afu jioni nikamkuta nyumbani ndo ametoka safarini!
 
"CHIBU PERFUME"
Usihame siti, anza story za kumsaidia ili asije aibika siku nyingine
Anza hivi;
Nasikia Diamond kaanzisha brand Mpya ya perfume! Nasikia ni nzuri Naitamani nione ubora wake.
Aki-support tu, Fanya juu chini hata umuongezee kama uko njema.
 
Back
Top Bottom