Natamani kuhama siti....

Natamani kuhama siti....

Habari ya asubuhi wadau.... Niko ndani ya gari la abiria, natoka Dar naelekea Arusha... Hali ya hewa ni nzuri kabisa, ubaridi ukichagizwa na rasharasha za mvua....

Safari yangu imeanzia Ubungo, baada ya kuingia kwenye gari nimepokelewa na bashabasha la tabasamu na jirani wa siti yangu, binti kazuri tu, nikaona nina bahati kumpata jirani ambaye anaonyesha ataifanya Safari yangu niione fupi kabisa.

Maana unaweza fika kwenye siti ukamkuta jirani wa siti yako Kama kalishwa ndimu vile, lakini huyu dada yuko vizuri kabisa.

Sasa licha ya mapokezi matamu na uchangamfu wake, mpaka sasa tuko Chalinze, lakini nimeanza kuchoshwa na harufu mbaya ya huyu dada, yaani hili sio kwapa, kwa umri wangu na uzoefu wa hizi harufu, nina hakika kabisa hii ni harufu ya K -kisheti.. Kwakweli Safari naanza kuiona ndefu mno,.... Nimegeuza geuza macho yangu labda ingewepo nafasi ya siti wazi niombe nihamie,. Lakini nimefeli.

Sasa najiuliza hivi asubuhi hii ametoka kuamka, ameoga, kajipodoa,... Na hali ya hewa wala sio ya joto.. Tatizo laweza kuwa ni nini jamani,.. Yaani natamani kuhama siti kwakweli.
 

Attachments

  • FB_IMG_1492859042297.jpg
    FB_IMG_1492859042297.jpg
    37 KB · Views: 22
Pole sana kwa adha hiyo mm kuna siku nilikaa na abiria mwenzangu ananuka pua Alafu alikaa dirishani mda wote anafunga dirisha, niliona safari ya kutoka morogoro arusha kama natoka mbeya arusha
Ni hatariii.....
 
Hata Mimi nimepiga picha mazingira ya usafiri bus unapataje mda wa kuandika vitu kama hivi

Jf imekuwa kama fb watu wanatafuta likes na comments
Pole aisee, hilo povu sijui la sabuni gani mkuu. Nahisi nawe una tatizo linalofanana na huyu jirani tangible .. Jf umenikuta na utaniacha....
 
Pole aisee, hilo povu sijui la sabuni gani mkuu. Nahisi nawe una tatizo linalofanana na huyu jirani tangible .. Jf umenikuta na utaniacha....
Usidanganye na ID ninayotumia jf tumetoka nayo tangu inaitwa jambo forum hi ni ID nyingine tu
 
Kuna wanaume na vijanaume kwakweli sio kwa umbea huu khaa
Na usihame siti tulizana km vp msaidie manukato ulonayo ww SHWAINI
Pole nawe, ukinuka ujue unakuwa kero.. Najua mko wengi
 
"CHIBU PERFUME"
Usihame siti, anza story za kumsaidia ili asije aibika siku nyingine
Anza hivi;
Nasikia Diamond kaanzisha brand Mpya ya perfume! Nasikia ni nzuri Naitamani nione ubora wake.
Aki-support tu, Fanya juu chini hata umuongezee kama uko njema.
ngoja nilianzishe mkuu
 
Back
Top Bottom