Natamani kufuturu na mmu member

bebii bana...mara atake kuondoka JF...mara atake kufuturu na Mjf.....mcharuko sana huyu bebii
 
hijabu ila ndani kuwe open kabisa
karibu sana na utakuta mlango wa sebuleni na chumbani uko wazi kabisa

Duh! hii kubwa wenzenu PILAU ya EID twailia barazani mwenzetu waipeleka chumbani? Uchoyo huo....lol
 
Sasa mmeamuaje jamani? Wapi pa kupata kikombe cha futari leo?
 
Back
Top Bottom