basi nialike futari yeyote
daaaah au nije sijavaa kitu kabisa?
Twenzetu RUNWAY LOUNGEJamani wapendwa mwezi mtukufu ndo umeisha bahati mbaya sijapata hata ka mwaliko kamoja ka futari hata ka uji jamani.why meee?
sasa kimini na kitopu hawataniona kichaa? Nitakuja na hijabu bwana
Twenzetu RUNWAY LOUNGE
Hahahaha!!!! LolKwa kurukia treni kwa mbele TF nakuvulia kofia
Ishafika Kibaigwa sijui itaikuta tena
Hahaha!!!! bebii haya ya humu yaangalie hivi hivi maana unabaki unacheka tu, mimi sijaalikwa bado banaawewe finest hujaalikwa wewe? Maana ulivokuwa unatafutwa mwezi huu humu ?ushamalizana nae yule aliekuzimikia? una bahati wewe?
sasa unacheka tena? acha kuchezea bahati bwana mimi nimetafuta sijapata kitu wewe unafatwa unacheka? kweli penye miti hamna wajenziHahaha!!!! bebii haya ya humu yaangalie hivi hivi maana unabaki unacheka tu, mimi sijaalikwa bado banaa
Hahahaha!!!! Lol
Sasa unajuaje kama na mimi nimeangukia kwako ila nashindwa kukwambia lol!!!sasa unacheka tena? acha kuchezea bahati bwana mimi nimetafuta sijapata kitu wewe unafatwa unacheka? kweli penye miti hamna wajenzi
Ngoja nimzukie huko huko naona Rocky una ajenda hiyo kadi isinifikie mapemaNa kuna mtu ana kadi yako ya mwaliko ila ndo kwanza anatoka sumbawanga sijui atawahi kabla ya siku yenyewe
kutakuwa na jeans tena mbili bwana
Jamani wapendwa mwezi mtukufu ndo umeisha bahati mbaya sijapata hata ka mwaliko kamoja ka futari hata ka uji jamani.why meee?