Natamani kufa

Status
Not open for further replies.
Kulia nitalia mpenzi, tena ntalia hadi ntajikojoleaaaa.
Kama unabisha jinyonge.

Hahhhahhhahhhahhhahhhahhahhhaaaaaaaaaaa mi nishandaaaa msarabaa hebu nipe jina lake la ukwelii niandike juu ya msalaba
 
kina dada kwa heshima na taadhima naomba yaishe mrudi kwenye mstari, hampendezi kuvunjiana heshima.
 
Hahahaaa ngoja nikatafute bukta nirudi huku... labda uje kuntoa na breakdown..

hahahaaa! Naona unapenda kuangalia ugomvi wa wenzako wakat wanatoana macho!! Tena mmoja katishia kuweka picha za mwenzie sijui itakuwaje
 
aisee!! Inasikitisha sana kuona baadhi ya watu wanaumiza kutoa ushauri kwa matatizo hewa.
Ndo maana sijawahi kuchukulia kitu serious hapa labda thread za birthday, kujifungua na kudanja tuuuu
 
Nakuelewa sana na ushauri wako niliufanyia kazi ndiyo maana nimefikia hapa nilipo
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana sijawahi kuchukulia kitu serious hapa labda thread za birthday, kujifungua na kudanja tuuuu

Weweuchangudoa wako ndiyo tatizo unafikiri kila mtu wa humu ni kama wewe hahahahahahaha usikriri maisha hv bado upo mbagala?
 
Every one is unique.He was born for a special mission. Follow your inner-heart. You have your life and they have theirs.
 
hivi ile thread yetu kule celeb ya miss ushuzi mavi designer mods wameirestisha in peace?

Yaaan wameitoaaa nimeudhikajeeeee yaan wameitoaa banaaaa wametoaa karibu tatuuu
 

Mwambie Baba yako akutafutie Mme anayempenda yeye.
 
Boyfriend yupi tena? Huyo uliempiga chini?

achana na everlyn salt, ana laana ya watu8. Asije akakupotezea lengo.

kwa hiyo unajiua leo ama utangoja jumatatu ili tusiende kazini, manake uaituhariboe bata la wknd mamiio
Ananipa hasira huyu evelyn ni anatongoza my boyfrnd kakataliwa ananfata fata y ?
 
Last edited by a moderator:
 
Weweuchangudoa wako ndiyo tatizo unafikiri kila mtu wa humu ni kama wewe hahahahahahaha usikriri maisha hv bado upo mbagala?

Look!!!!rafiki ako hata hujui anaishi wapi?
mbona kwenye prof nimeandika
sijawahi kuishi dar nimezaliwa mwanza ntafia mwanza mbagala napasikia tu
 
hahahaaa! Naona unapenda kuangalia ugomvi wa wenzako wakat wanatoana macho!! Tena mmoja katishia kuweka picha za mwenzie sijui itakuwaje

Usijali shem, hawatofikia huko... mie na ugomvi mbali mbali... nafurahisha baraza tu hapa...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…