Natamani kuchana vyeti!

Natamani kuchana vyeti!

Jamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignments) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!
Kuna wakati nilitembea maofisini katika ofisi ambazo nafahamu fika wanafanya shughuli zinazohusiana na maendeleo ya jamii nikiomba kujitolea buuureeee kabisa, nauli yangu, lunch yangu, wao wanipe kazi tu niwe nazifanya, tena nitazifanya kwa moyo, lakini sikupata hata pahala pamoja! nina mapenzi makubwa sana na profession yangu lakini sasa navunjika moyo, najiuliza nini kinasababisha nisikubaliwe hata pale ninapokua tayari kufanya kazi bure (Volunteering), nimefunga na kuomba kwa kila hali, sasa nimebaki kuhangaika na nafsi tu, nawaza kuchana vyeti vyangu vyote, na mabaki niyachome moto, iwe habari yangu ya shule imeishia hapo!
Mkuu ila unatania si eti? Najuwa huwezi chana vyeti hata kama una hasira kama za mkurya.......
 
....badili mindset,achana na habari za kulialia hujaajiriwa;nenda na jukwaa la uchumi eleza changamoto unazokutana nazo kwenye hicho kilimo na ufugaji usaidiwe;kisha ukomae!
.....kila la heri!
 
duh tupo tofauti kweli, tumemaliza kozi moja bt miaka tofauti ila sijawahi kuwaza hivi, najituma kivyangu tu mtaani, what if Mungu hataki uwe mtumwa wa mtu anakutengeneza wewe uajiri wengine? Be positive dear maisha ni popote, siku hiz kuajiriwa wala sio deal.
 
Kazi umepata, hubiri INJILI mpendwa. Si kwamba ndo njia ya kupatia fedha la, bali hilo lifanye kuwa ni fungu na jukumu lako toka kwa Mungu surely you will be filled with Happy which you didn't expect.
 
Jamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignments) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!
Kuna wakati nilitembea maofisini katika ofisi ambazo nafahamu fika wanafanya shughuli zinazohusiana na maendeleo ya jamii nikiomba kujitolea buuureeee kabisa, nauli yangu, lunch yangu, wao wanipe kazi tu niwe nazifanya, tena nitazifanya kwa moyo, lakini sikupata hata pahala pamoja! nina mapenzi makubwa sana na profession yangu lakini sasa navunjika moyo, najiuliza nini kinasababisha nisikubaliwe hata pale ninapokua tayari kufanya kazi bure (Volunteering), nimefunga na kuomba kwa kila hali, sasa nimebaki kuhangaika na nafsi tu, nawaza kuchana vyeti vyangu vyote, na mabaki niyachome moto, iwe habari yangu ya shule imeishia hapo!
My dear mm naona kinachokusumbua ni kwamba hujakubaliana na hali. Dream yako Ilikuwa kuajiriwa na ndo maana mpka leo huja giv up. Em jrb kukubaliana na hali.. unajua usipokubali kwamba hiki kitu kimetokea n yu have to move on, trust me hutokuja kufanikiwa. Kwasbb chochote utakachotaka kufanya huwez kufanya kwa moyo wako wote kwasbb una matumaini kuwa ntaitwa kazini kwaivyo sitofanya tena hii kazi. Jinsi unavyozidi kuwaza kuhusu vyeti ndivyo unavyozidi kujicheleweshea maendeleo. Let it go afu ufanye vtu vingne kma ndo kitu unachofanya with your whole heart. Utakuja kushangaa mwenyew mda wwte utaitwa kazini lakini pia mambo ya ufugaji na kilimo yatakuwa yamekaa mahali pazuri. Na hta usipoitwa kazini utakuja kushangaa kilimo na ufugaji kitakavyokuingizia hela ambayo hata wakikuita kazini hawawezi kukuoffer as salary. Believe me you have to move on and accept kilichopo in your life. Hyo degree yako unaweza kushangaa utakuja kuitumia katika community development zinazohusu kilimo na unaweza ukawa entrepreneur ambaye everyone anataman aje ajifunze kwako.
Move on dada
 
asa kaka! kumbe unafanya ujasilia mari kitu gan unalalamika? wenzio hata pa kuanzia hawana na shule yao kubwa kuliko ww iko ka degree kamoja! na ilo ndilo tatizo la watanzania fursa za kujiajir zipo lkn mtu unaona bora ukae bule ukisubir ajira! tutatia huruma sana kwa ako katabia
 
watanzania tunakaribia milion 20 sasa na walioajiriwa hata milion 1 hawajafika , sasa kila mtu akilalamika itakuwaje?
 
Polee,unauhakika wenzio wote wameajiriwa?na unauhakika wanyuma yako wote wameajiriwa?
 
Mungu anakuwazia mema mawazo yako sie yake kila jambo na wakati wake nilitamani kuoa tangu miaka ishirini iliyopita nimekuja kuoa miaka ishirini kupita, usikate tamaa jipe moyo IPO siku utakuja kuitwa ukaanze Kazi katika sehemu hizo hizo ulizotuma CV sababu baadhi ya ofisi huwa hawatupi kumbukumbu.Mifano hai kuna Dada alimaliza degree ya HR kazunguka miaka mingi kusaka ajira Bila mafanikio akiona wenzake aliowaacha vidato vya chini wako mbali kimaisha wanafamilia,wanajimudu kimaisha,nk kazunguka kwenye misaada mbali mbali ya kiroho hadi Kwa waganga kamaliza Bila mafanikio kafanya interview kila sehemu akawaza sana hadi kafika mwisho akaona vyote havina thamani akiona bora afe akanywa sumu siku ya tatu waende kuzika kaletewa barua inatakiwa ajiandae jumatatu Asubui aende akasaini contract ya Kazi ya HR kwenye ofisi kubwa yenye package na marupurupu kibao lkn ndo hivo washazika jana muhusika.Hivo mfano umechoma moto vyeti kesho inatakiwa ufike ofisi kubwa na vyeti vyako utafanyaje,vyeti haviozi wwe viweke lamination tafuta sefu viweke vitajibu IPO siku,tena Shukuru Mungu unapata pa kujishughulisha endelea napo ikitokea ajira sawa huku ukipania kujipanua zaid.Fanya shughuli yeyote inayozarauliwa au isiyowezafanywa na watu au wasomi ifanye kisomi zaid weka vyeti pembeni ondoa aibu songa mbele,toa sadaka ,fungua moyo wako uone Baraka zitakavomiminika zaid.Amen.
 
Kuhusu Kilimo na Ufugaji unaweza ukaingiza hela kuliko hio ajira uiwazayo na usitake kuajiriwa milele Bali ukajiri wengi,cha msingi ni kujua wateja wako wanataka nn ,wape bidhaa bora Kwa bei ndogo kanuni ya kichina waheshimu na kuwathamini wateja wako utatoka tu,kuna graduate mmoja alikata tamaa kuna siku alienda kumtembelea anti wake anti amkampa Kuku wawili wa kienyeji akafuge akawa anafuga kienyeji tu siku akapata wazo kuboresha mazingira ya Ufugaji Leo ana Kuku zaid ya elf tano wa kienyeji ana Shamba kubwa tu anauza matrey na matrey ya mayai ya kienyeji anasomesha wanae international kajenga majumba ana magari na ataki kuajiriwa cha msingi ni kubadili mawazo yako yaone maisha ktk mtazamo mpya utafanikiwa.
 
Kwani kwenda shule ni kutafuta kuajiliwa? Jibu cio jibu lake ni kujiajirl mwenyewe
 
Kwa vile tayari umeolewa mshukuru Mungu na muamini pia na kazi atakupatia
 
Mungu anakuwazia mema mawazo yako sie yake kila jambo na wakati wake nilitamani kuoa tangu miaka ishirini iliyopita nimekuja kuoa miaka ishirini kupita, usikate tamaa jipe moyo IPO siku utakuja kuitwa ukaanze Kazi katika sehemu hizo hizo ulizotuma CV sababu baadhi ya ofisi huwa hawatupi kumbukumbu.Mifano hai kuna Dada alimaliza degree ya HR kazunguka miaka mingi kusaka ajira Bila mafanikio akiona wenzake aliowaacha vidato vya chini wako mbali kimaisha wanafamilia,wanajimudu kimaisha,nk kazunguka kwenye misaada mbali mbali ya kiroho hadi Kwa waganga kamaliza Bila mafanikio kafanya interview kila sehemu akawaza sana hadi kafika mwisho akaona vyote havina thamani akiona bora afe akanywa sumu siku ya tatu waende kuzika kaletewa barua inatakiwa ajiandae jumatatu Asubui aende akasaini contract ya Kazi ya HR kwenye ofisi kubwa yenye package na marupurupu kibao lkn ndo hivo washazika jana muhusika.Hivo mfano umechoma moto vyeti kesho inatakiwa ufike ofisi kubwa na vyeti vyako utafanyaje,vyeti haviozi wwe viweke lamination tafuta sefu viweke vitajibu IPO siku,tena Shukuru Mungu unapata pa kujishughulisha endelea napo ikitokea ajira sawa huku ukipania kujipanua zaid.Fanya shughuli yeyote inayozarauliwa au isiyowezafanywa na watu au wasomi ifanye kisomi zaid weka vyeti pembeni ondoa aibu songa mbele,toa sadaka ,fungua moyo wako uone Baraka zitakavomiminika zaid.Amen.
Amina, ubarikiwe kwa kunitia moyo!
 
Jamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignments) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!
Kuna wakati nilitembea maofisini katika ofisi ambazo nafahamu fika wanafanya shughuli zinazohusiana na maendeleo ya jamii nikiomba kujitolea buuureeee kabisa, nauli yangu, lunch yangu, wao wanipe kazi tu niwe nazifanya, tena nitazifanya kwa moyo, lakini sikupata hata pahala pamoja! nina mapenzi makubwa sana na profession yangu lakini sasa navunjika moyo, najiuliza nini kinasababisha nisikubaliwe hata pale ninapokua tayari kufanya kazi bure (Volunteering), nimefunga na kuomba kwa kila hali, sasa nimebaki kuhangaika na nafsi tu, nawaza kuchana vyeti vyangu vyote, na mabaki niyachome moto, iwe habari yangu ya shule imeishia hapo!
ingia google kuna NGO moja iko arusha inaitwa the foundation for tommorow, inahitaji interns, aply then wanaweza wakaja kukuajiri baadae
 
Jamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignments) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!
Kuna wakati nilitembea maofisini katika ofisi ambazo nafahamu fika wanafanya shughuli zinazohusiana na maendeleo ya jamii nikiomba kujitolea buuureeee kabisa, nauli yangu, lunch yangu, wao wanipe kazi tu niwe nazifanya, tena nitazifanya kwa moyo, lakini sikupata hata pahala pamoja! nina mapenzi makubwa sana na profession yangu lakini sasa navunjika moyo, najiuliza nini kinasababisha nisikubaliwe hata pale ninapokua tayari kufanya kazi bure (Volunteering), nimefunga na kuomba kwa kila hali, sasa nimebaki kuhangaika na nafsi tu, nawaza kuchana vyeti vyangu vyote, na mabaki niyachome moto, iwe habari yangu ya shule imeishia hapo!
Pole sana mungu atakufanyia wepesi

Ngoja nilete posa sasa nione kama naww utakataa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom