Ndugu usichane vyeti ishi kwa kumtumainia Mungu. Siku utakayochana vyeti Saa moja mbele utaona sms ya kuitwa interview uje na original certificate utafanya nini?? So think big wewe ni msomi Muache Mungu Afanye yalio bakia hii ni ushuhuda siku utakapo pata kazi. Mungu anapima uvumilivu wako plz usimuaibishe mbele ya shetaniJamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignments) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!
Kuna wakati nilitembea maofisini katika ofisi ambazo nafahamu fika wanafanya shughuli zinazohusiana na maendeleo ya jamii nikiomba kujitolea buuureeee kabisa, nauli yangu, lunch yangu, wao wanipe kazi tu niwe nazifanya, tena nitazifanya kwa moyo, lakini sikupata hata pahala pamoja! nina mapenzi makubwa sana na profession yangu lakini sasa navunjika moyo, najiuliza nini kinasababisha nisikubaliwe hata pale ninapokua tayari kufanya kazi bure (Volunteering), nimefunga na kuomba kwa kila hali, sasa nimebaki kuhangaika na nafsi tu, nawaza kuchana vyeti vyangu vyote, na mabaki niyachome moto, iwe habari yangu ya shule imeishia hapo!
Tatizo wengi mnasoma bila kujua ni nini utafanya baada ya kupata cheti. Hili ni kosa kubwa
Ukianza kumlau au kumshirikisha mungu, unafifisha jitihada zako za kufanya challenges kuwa opportunities. Nasema amemaliza degree ya kwanza zamani, anamwenzi hadi mtoto. Hapaswi kung'ang'ana na alicho nacho. Kwanza lazima tukumbuke kuwa Degree ya kwanza kwa sasa si ya kutafutia kazi. Angalau awe na masters inayoeleweka! huo ni ukweli mchunguKwa hiyo Mkuu, unataka kusema wale wote waliofanikiwa kupata ajira mapema walijua ni nini wangelifanya baada ya kumaliza masomo!!
Hiii hali ikiwa imekupitia pembeni waweza waona wanaolalamika kama mleta mada ni wazembe fulani hivi........
Mimi namsihi aamini tu kwamba MUNGU ni mwema na ana makusudi yake.
Ur better days are coming Dada angu
Una gundu mjomba ogea maji ya magadi aisee au hujui kuandika CV au hujui kuandika barua ya maombi au hujishughulishi kutafuta ajira kwenye tovuti na blogs za ajira au huna experience ya kutosha au unataka ulipwe shahara kubwa yaani sielewi kabisaaa
Jamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignments) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!
Kuna wakati nilitembea maofisini katika ofisi ambazo nafahamu fika wanafanya shughuli zinazohusiana na maendeleo ya jamii nikiomba kujitolea buuureeee kabisa, nauli yangu, lunch yangu, wao wanipe kazi tu niwe nazifanya, tena nitazifanya kwa moyo, lakini sikupata hata pahala pamoja! nina mapenzi makubwa sana na profession yangu lakini sasa navunjika moyo, najiuliza nini kinasababisha nisikubaliwe hata pale ninapokua tayari kufanya kazi bure (Volunteering), nimefunga na kuomba kwa kila hali, sasa nimebaki kuhangaika na nafsi tu, nawaza kuchana vyeti vyangu vyote, na mabaki niyachome moto, iwe habari yangu ya shule imeishia hapo!
Ndugu usichane vyeti ishi kwa kumtumainia Mungu. Siku utakayochana vyeti Saa moja mbele utaona sms ya kuitwa interview uje na original certificate utafanya nini?? So think big wewe ni msomi Muache Mungu Afanye yalio bakia hii ni ushuhuda siku utakapo pata kazi. Mungu anapima uvumilivu wako plz usimuaibishe mbele ya shetani
Ahsante kwa mchango wako pia!Una gundu mjomba ogea maji ya magadi aisee au hujui kuandika CV au hujui kuandika barua ya maombi au hujishughulishi kutafuta ajira kwenye tovuti na blogs za ajira au huna experience ya kutosha au unataka ulipwe shahara kubwa yaani sielewi kabisaaa
KUUNDWA JUKWAA LA WAHITIMU WA DEGREE NA DIPLOMA NCHINI.Jamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignments) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!
Kuna wakati nilitembea maofisini katika ofisi ambazo nafahamu fika wanafanya shughuli zinazohusiana na maendeleo ya jamii nikiomba kujitolea buuureeee kabisa, nauli yangu, lunch yangu, wao wanipe kazi tu niwe nazifanya, tena nitazifanya kwa moyo, lakini sikupata hata pahala pamoja! nina mapenzi makubwa sana na profession yangu lakini sasa navunjika moyo, najiuliza nini kinasababisha nisikubaliwe hata pale ninapokua tayari kufanya kazi bure (Volunteering), nimefunga na kuomba kwa kila hali, sasa nimebaki kuhangaika na nafsi tu, nawaza kuchana vyeti vyangu vyote, na mabaki niyachome moto, iwe habari yangu ya shule imeishia hapo!
Kashasema nyuma hayko vzr ki feza utamlipia fees ya mastersUkianza kumlau au kumshirikisha mungu, unafifisha jitihada zako za kufanya challenges kuwa opportunities. Nasema amemaliza degree ya kwanza zamani, anamwenzi hadi mtoto. Hapaswi kung'ang'ana na alicho nacho. Kwanza lazima tukumbuke kuwa Degree ya kwanza kwa sasa si ya kutafutia kazi. Angalau awe na masters inayoeleweka! huo ni ukweli mchungu
Don do this pliiz! Huyu ni shetani anakufatilia jitahudi sana umshinde.. Usije ukathubutu kuchana vyeti Utajutia maisha yako yote...Unaweza,ukachana alafu ukaitiwa kazi.. Usichoke kuomba Mungu ni mwaminifu iko siku atakupa hitaji la moyo wako... Huwa hawai wala hachelewi.. Amekutoa darasa la,kwanza hadi,chuo kikuu,hawezi kukuacha.. Kumbuka kila,jaribu,lina mlango wa kutokeaYou can count years my dear, wadogo zangu wanaanza vyuo wanamaliza, wanapata kazi mimi nipo nawaangalia tu! I really, feel bad to the extent I don't want to set my eyes on my certificates anymore! Over a long period now I am thirsty of tearing my certificates into smallest pieces and I must make sure they remain only ashes!
Ahsante!Don do this pliiz! Huyu ni shetani anakufatilia jitahudi sana umshinde.. Usije ukathubutu kuchana vyeti Utajutia maisha yako yote...Unaweza,ukachana alafu ukaitiwa kazi.. Usichoke kuomba Mungu ni mwaminifu iko siku atakupa hitaji la moyo wako... Huwa hawai wala hachelewi.. Amekutoa darasa la,kwanza hadi,chuo kikuu,hawezi kukuacha.. Kumbuka kila,jaribu,lina mlango wa kutokea