Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
- Thread starter
- #41
shida iko pale wamama wanavyojua kuwanyanyasa watoto ambao sio wakwao labda ndo sababu ya yeye kukataa
Mimi siwezi kufanya hivo kwani mume wangu aliponioa alikuwa tayari ana mtoto wa kike ambaye tulikuwa tukiishi wote. Cha ajabu ni kwamba huyo binti alikuwa ananipenda mimi sana kuliko hata baba yake hadi hapo baba yake mwenyewe alipomtimua hapa nyumbani kwa kisingizio kuwa shule imemshinda! Lakini pia hadi hii leo binti huwa ananipigia simu mimi na hajawahi kumpigia baba yake.