Natamani kuasili mtoto lakini mume hataki

Natamani kuasili mtoto lakini mume hataki

Si uchukue mtoto wa ndugu yako uishi nae au ukoo wenu wote matajiri mpaka utake wa kuasili acha hizoooo
 
Si uchukue mtoto wa ndugu yako uishi nae au ukoo wenu wote matajiri mpaka utake wa kuasili acha hizoooo

Ndugu zangu wanapenda kuwalea watoto wao wenyewe. Hata sisi tulipokuwa watoto hatukulelewa na ndugu yoyote pamoja na kwamba tulizaliwa watoto kumi kwa baba mmoja na mama mmoja!
 
Mlengeshee siku kama unampenda, natumaini hamlali bila mipira pia as hujasema mwanzo anakataaje. Ila usiwe unamwambia siku zako ni lini zinaanza na kuisha labda anajua kuhesabu hiyo ni kama hamtumii mpira.

Weye fanya mahesabu then ndio jipeleke hakupe raha, na usifikirie sana juu ya mtoto mwachie Mungu utajiona umepata mimba.

Sasa yote haya ni mnaishije na tendo la ndoa.

Ila nakuonea huruma najua inauma sana, na mapenzi ya ndoa uongezewa na watu pia kupata cha damu yao, kweli hakutendei haki. Sijui anakupenda sana pia... Mmh

Ni kweli ananipenda sana na kuniheshimu na huwa hapendi kuniona ninahuzuni wala hapendi kunisikia nikilalamika kuhusu suala hili. Pia pamoja na kuzaa nje ya ndoa kaniahidi kwamba hana mpango wa kuoa mwanamke mwingine yeyote.
 
Pole sana, kweli mtoto ana raha yake. Umeenda hospitali kubwa kuchunguzwa? Je umeambiwa hutoweza kuzaa kabisa?
Unaweza kuni pm nikwambie kitu hope kitakusaidia sana.
 
Watu kadhaa wamekuuliza kama ulishaenda hospitali kupima.Je, kama ni kweli uliambiwa tatizo ni nini mpaka usipate mtoto?
Jibu hayo kwanza unaweza pata msaada hapa.
Mimi naamini MUNGU anaiona haja yako na ameshakuandalia majibu ya tatizo lako.

Jitahidi pia kutubu labda ulimkwaza mtu au MUNGU hapo kabla na hujatubu sawasawa AU huyo mme ulimnyang'anya mwanamke mwenzio kwa hiyo amekuziba uzazi kichawi zaidi.

najaribu tu kufikiri:juggle:
 
Hilo wazo pia nilimpa lkn akasema labda hapo baadaye kwani kwa sasa hao watoto bado wadogo wanahitaji kutunzwa kwanza na mama zao.

Una uhakika ni wake? wako wangapi na umri wao ukoje?

Kwanini unahisi hakuamini kuwa unaweza kulea wanae kama mama yao? Unahisi bado ana mahusiano nao?

Ukinijibu maswali yangu yote, ntakuambia kitu changu.
 
Pole sana, kweli mtoto ana raha yake. Umeenda hospitali kubwa kuchunguzwa? Je umeambiwa hutoweza kuzaa kabisa?
Unaweza kuni pm nikwambie kitu hope kitakusaidia sana.

Eish!!! si umwambie hapahapa na wengine wenye matatizo kama yake wapate ilmu?
 
shida iko pale wamama wanavyojua kuwanyanyasa watoto ambao sio wakwao labda ndo sababu ya yeye kukataa
 
We endelea kuzeeka tu manake anakuchosha. Anajua ukishazaa'haunogi' tena.
He wants to effectively use ur pussy

Hahah comrade,

Siku hizi hauna cha mswalie mtume wala nini. Ni kavukavu mazima lol
 
Muneo mbibafsi
Mchoyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
USIKATE TAMAA MPENDWA
nakushauri nenda kwenye maombezi kwenye kanisa la mchungaji ANTONI LUSEKELO
hapo ubungo kibangu kwa imani yako MWENYEZI MUNGU atakupa mtoto
na hapo amani na furaha itarejea
usipuuze huu ushauri au uwe unaangalia chanel ten kila jumatano saa3 na nusu usiku
 
Una uhakika ni wake? wako wangapi na umri wao ukoje?

Kwanini unahisi hakuamini kuwa unaweza kulea wanae kama mama yao? Unahisi bado ana mahusiano nao?

Ukinijibu maswali yangu yote, ntakuambia kitu changu.

Ninaowafahamu mimi na ambao nina uhakika kuwa ni kwake ni wanne kwa sababu baada ya kufanya uchunguzi wangu nikam bana sana ili anieleze ukweli kuhusu hao watoto alikubali na kukiri kuwa ni wa kwake. mmoja ana miaka mitano, wawili wana miaka mitatu na mmoja ana miaka miwili na wa mwisho ana miezi minne.
Sidhani kama haniamini kuhusu kuwalea watoto hao.
Ninahisi bado ana uhusiano hasa na mmoja kati ya wanawake watatu aliozaa nao kwa sababu mwanamke aliyezaa naye watoto wawili yaani wa miaka miwili na huyo wa miezi minne. Halafu nishamsikia akiwasiliana naye mara nyingi kwenye simu. Nikimuuliza ananiambia kuwa ni mawailiano kuhusu mtoto lkn kishamuacha kitu ambacho mimi siamini.
 
Back
Top Bottom