Natamani kuasili mtoto lakini mume hataki

Natamani kuasili mtoto lakini mume hataki

Kama amekuahidi mbona hataki mtoto na wewe?

mie unanifanya nikumbukie zile story za ukweli za wanaume wanajiunga na cult na sheria ni wasizae na wake za ndoa au yote waliyofanya kutajirika au kuendelea uwaponyoka hata kuwaua.

Mamii kaa chini usali, na ufikirie zaidi. ila duniani ajuaye ya mbele ni Mungu tu.

hiyo ya kukataa mtoto na wewe ni BIG ?

Nashukuru ndugu yangu kwa maoni yako. Lkn kumbuka kuwa mume wangu hajakataa kuzaa na mimi ila tatizo ni kwamba Mungu hajanijalia kuzaa naye licha ya kuishi maisha ya mume na mke.
 
Back
Top Bottom