Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Naombeni ushauri wandugu. Sijajaliwa kupata mtoto, lakini mume wangu amejaliwa watoto wa nje kibao.
Natamani na mimi kuasili mtoto mume wangu kakataa katakata.
Nishaurini jamani kwani mawazo yananitesa maana nimeishi wawili tu na mume wangu na anaposafiri hali huwa mbaya.