Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 763
Wakati unamuoa uliapa utakuwa naye kwa shida na raha. What happened? Imagine wewe ndo ungekuwa unaumwa hlf yeye akachoka kukuhudumia akakuacha ungejisikiaje? Pole.sana lkn acha ubinafsi
Thread Closed!!!
Naomba kwa Mwenyezi Mungu huyo mwanamke asiye na hatia asipite hapa akaisoma hii thread.
Watu wote wenye mapenzi mema na tuseme AMINA.
cc charminglady
amina!!!!thread closed!!!
Naomba kwa mwenyezi mungu huyo mwanamke asiye na hatia asipite hapa akaisoma hii thread.
Watu wote wenye mapenzi mema na tuseme amina.
Cc charminglady
Thread Closed!!!
Naomba kwa Mwenyezi Mungu huyo mwanamke asiye na hatia asipite hapa akaisoma hii thread.
Watu wote wenye mapenzi mema na tuseme AMINA.
cc charminglady