Natamani JK agombee uraisi 2015

Mwacheni apumzike, 2015 tutawakabidhi Magufuli tuone kama mtaambulia hata asilimia 5 kudadadeki.
 
mkuu kura atakazopata ni idadi ya wanafamilia ndgu na jamaa 2,yaani ni atadondokea pua....................huh
 
Je unadhani matokeo yatakuwaje?
<br />
<br />
gud newz ni kwamba katiba hairuhusu, bad newz ni kwamba kama angepata fursa hyo angepita tena hata kama ni kwa kura chache...ccm hawako tayar kuachia hi nchi kwa sasa. Ni kweli tunatakiwa kuchagua mtu kwa maendeleo lakini kwa bahati watz bado tumetawaliwa na mawazo ya uchama zaidi....kwa mtazamo wangu ccm itaangushwa na ccm wenyewe mana wao ndio wengi...so kama wakiamua kuunga mkono upinzani kweli watashinda. Kwa upande mwingine ccm inashinda kutokana na ubinafsi wa wapinzani wenyewe...mfano chama kama nccr-mageuzi, cuf, cdm, tlp etc kama vikiungana na kusimamisha mgombe m1 inaweza kuwasaidia. Lakini kwa bahati hali haiko hivyo...tena wapo ccm ambao wangeweza kupiga kura kwa upinzani lakini wanaogopa kupoteza kura zao mana wanajua wazi kua kufanya hvyo ni kupoteza kura.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom