JosM
JF-Expert Member
- Oct 11, 2008
- 679
- 19
Kwa nini wewe usi bandike hizo picha za ndugu zetu wenye maisha magumu mkuu?
niko kwenye harakati hizo mkuu.

white house wanatumia window XP...naona na outlook 2007......
niko kwenye harakati hizo mkuu.
hivi unathubutu kusema una wish JF tunge ishi hivi? bibi/babu yako huko kijijini wanatembea peku kwa kukosa kandambili,halafu we unaweka tundiko lako la hanasa,kwa nn ukuweka picha za ndugu zetu wenye maisha magumu then ukauliza tuwasaidieje? Watz bw kwakupenda vitu tusivyo kuwa na uwezo navyo kaazi kweli kweli.

Sio kila mtu ambaye babu au bibi yake anakaa kijijini na anatembea peku ebo!!!
Ataiharibu White House huyu mjaluo