Natamani....(I wish) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani....(I wish)

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bra-joe, Apr 19, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Natamani UDOM kingekuwa chuo kikuu. Natamani CCM kiwe chama cha upinzani. Natamani mademu wote wawe wanatongoza wanaume. Natamani Jf member wengi wangekuwa wanatoka Tabora na siyo Arusha. Natamani mikoa ya Tabora, Lindi na Mtwara ingekuwa na watu wenye kuelewa mageuzi kama Mbeya, Mwanza na Arusha. Natamani JK asisafiri mpaka mwaka huu uishe. Natamani uchumi wa USA ungekuwa kama wa Tanzania. Natamani usingefungua hii post. Wewe unatamani nini?
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  natamani ugeuke wa kike.
   
 3. E

  Erasto toga Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nataman kupata mke mweny jina kama ....
   
 4. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  natamani Ringo Edmundi angekuwa na akili nzuri.
   
 5. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Natamani usingeandika hapa
   
 6. s

  shakamohd Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani kanumba arudi halafu tuone watu watampenda?
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  nataman kusingekuwa na kula. nachoka kula mie
   
 8. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  natamani kujamba ila nimekaa na watu wengi...
   
 9. b

  bob malya JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  natamani soda iuzwe bei ya bia.na bia iuzwe bei ya soda.
   
 10. b

  bob malya JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  john worker iuzwe bei ya gongo na gongo bei ya john worker
   
 11. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Natamani kujua WAHEED SUDAY ni demu au.........?
   
 12. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  natamani jk afe.
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  we mpuuzi kweli,utaingzaje ishu ka hyo kwenye utani?hata kama humpendi sio vzr kumuombea mambo mabaya kiasi hcho.
   
 14. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  natamani uanze kuimba sasa hivi
   
 15. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Natamani ungenisikia nilivyokuwa nikiimba.
   
 16. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  natamani dunia irudi kwenye maisha ya ujima, kusiwepo na MAMBO YOTE YA KISASA majumba magari, simu na mambo ya ki technology bila kupunga population hii iliyopo, tuishi mapangoni na kula mizizi porini tumetawanyika. hakuna nchi wala uraisi bali uongozi wa kiukoo na si zaidi ya hapo
   
 17. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We umepinda. Ahhhhh kumbe ni utani.
   
 18. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  umejuaje kapinda wakti hauko karibu nae wala humuoni?

  CONCLUTION:
  wewe ni mrogi/mchawi
   
 19. r

  ridhiwani gamba Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  natamani eva asinge kula tunda
   
 20. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nataman uwe na akili ya kutambua cfa za taasisi kuitwa chuo kikuu na sio kuongea ili mradi tu.
   
Loading...