Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674
natamani sukari kilo 1 iwe 100,000
unga kilo 1 - 50,000
chumvi kilo 1 - 80,000
mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000
bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @
na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri mana wananchi wanafanya maamuzi kwa mazoea tu.
Itapendeza zaidi ikianzia Igunga ndo watakoma hata kuuza kadi zao za kura!!