Natamani dada yangu angekuwa ndio mke wangu

Natamani dada yangu angekuwa ndio mke wangu

Usimlaumu mkeo.
Mliambiwa kama huna akili usioe, mwombe ushauri shemeji yako akufunde.

Halafu umeoa ila unakwenda kukaa kwa shemeji yako wiki[emoji134][emoji134] no wonder unamtamani dada yako.
Furushi.
 
Usimlaumu mkeo.
Mliambiwa kama huna akili usioe, mwombe ushauri shemeji yako akufunde.

Halafu umeoa ina unakwenda kukaa kwa shemeji yako wiki[emoji134][emoji134] no wonder unamtamani dada yako.
Furushi.
Ha haa jamani nimecheka
 
Duuh mkuu mbona umekuwa na mawazo mtu kiasi hicho,inawezekanaje ukalala kwa shemeji aliyeoa Dada yako hata kwa usiku mmoja tu?
 
Nimeoa mwanamke kimeo hatari,changamoto ninazozipitia kwenye ndoa yangu naamini hata shetani ananionea huruma.Nimemtembelea dada yangu nina wiki Sasa nipo hapa kwao,yeye na mumewe na watoto wao watatu,maisha ninayoyaona hapa daaaa najiona nina mkosi hawa watu wanaishi kwa upendo wa hali ya juu sana,na nilichogundua dada yangu anamheshimu na kumjali sana mumewe,na shemeji pia anampenda sana mkewe,

Shemeji ni mfanyabiashara mdogo mdogo na dada ni mtumishi serikalini,baada ya mumewe kuyumba kibiashara dada yangu ikabidi akavute mkopo benki(haya nimeambiwa na mdogo wake shemeji) dada yangu anakatwa mshahara,na dada yangu kila akitoa msaada wowote kwa wazazi kamwe hajawahi kusema Msaada katoa yeye ila mume wake,yote haya nimeyajua baada ya kufika hapa,

Je karne hii wangapi mnawafanyia haya waume zenu? Wangapi mnafanyiwa haya na wake zenu?mke anakujengea heshima kwao heshima ambayo alistahili yeye anakupa wewe mumewe,ndio maana nimejikuta ghafla nimetamani dada angekuwa ndio mke wangu,maana mke wangu mimi ni bingwa wa kunivunjia heshima kwao nk,mliooa wanawake wa namna hii hongereni Sana ,Wenzangu na mimi poleni ,tupambane na hali zetu.

Ndio maana ndoa inaelekea kukushinda, change your mind set and be responsible. Usione vyaelea, vimeundwa ... we wakati unachumbia, unaenda kutoa mahari hadi unaoa - ulikuwa umefumba macho au?

Kwa taarifa yako, wanawake asilimia kubwa sana kwenye ndoa wapo kama huyo dada yako isipokuwa wachache sana sana, very exceptional ndio kama huyo wako.

Jiulize umekosea wapi na uanze kutengeneza, hope aint too late.
 
Hivi hili somo la kuishi nao kwa akili halieleweki au ni vipi...?
 
Jifunze unayoyaona hapo ukayafanye nyumbani kwako. Halafu huo muda wote huko kwa shemeji yako hata aibu huoni rudi kwa mkeo mkajipange muishi vizuri
 
Unaposema dada aliyeolewa na mwanaume mwingine unamaanisha nini?tuanzie hapo

Namaanisha kwamba mume wa dada yako!

Yaani shemeji yako!

Inakuaje unaenda kukaa kwa shemeji yako aliemuoa dada yako wakati wewe ni mtu mzima una familia mke na watoto?

Unaenda kulala kwenye nyumba ya shemeji yako mtu mzima mwenye familia yako binafsi!?

There is a big problem with you kama huoni hilo ni tatizo!

Ndio maana mkeo anakudharau,no wonder!

Hilo ni tatizo jirekebishe my nigga!
 
Mkabidhi mkeo kwa shemeji yako kwa miezi angalau miwili, bila shaka ataadapt udambwi udambwi kwenye hiyo nyumba ulioupenda. Lakini wewe ondoka hapo, haipendezi kukaa kwa shemeji zaidi ya siku mbili, utamfanya ashindwe kumhudumia dadaako vyema mwishowe dadaako naye ataanza kuwa na tabia mbaya
 
Mkabidhi mkeo kwa shemeji yako kwa miezi angalau miwili, bila shaka ataadapt udambwi udambwi kwenye hiyo nyumba ulioupenda. Lakini wewe ondoka hapo, haipendezi kukaa kwa shemeji zaidi ya siku mbili, utamfanya ashindwe kumhudumia dadaako vyema mwishowe dadaako naye ataanza kuwa na tabia mbaya
Nakaa mwezi mkuu,na uwepo wangu una maslahi pande zote mbili
 
Back
Top Bottom