rula
Member
- Aug 26, 2019
- 69
- 149
Sjui hujamuelewa bro
Me nmehis anataman angekua na mke mweye tabia kama ya dada ake bt so kumuoa ndugu yake
Me nmehis anataman angekua na mke mweye tabia kama ya dada ake bt so kumuoa ndugu yake
Bro jitahidi umuombee mkeo na uzidi kumfanyia yatakayombadilisha ikiwemo kumuonyesha unayoyataka kwa mifanoMwenye nguvu sio dada yako ni huyo mume wako.
Nadhani umenielewa.
Acha hizi dhambi
Acha kutamani mke wa mtu
Acha kutamani kulala na umbu lako