Natamani dada yangu angekuwa ndio mke wangu

Natamani dada yangu angekuwa ndio mke wangu

vitu vingne aibu kabisa kuvitaja
Katamani TABIA sio MTU..

Mtu akikwambia "NATAMANI KUISHI MAREKANI"
Hamaanishi AHAME NCHI ila ANAHITAJI KUISHI MAZINGIRA YA UCHUMI YALIYO SAWA NA MAREKANI.

LUGHA YA FALSAFA

#ASANTE
#YNWA
 
Kwanini haukuandika ....mke kama alivyo dada yako....? Ya kutamani hiyo...mmmmmh tubu
Katamani TABIA sio MTU..

Mtu akikwambia "NATAMANI KUISHI MAREKANI"
Hamaanishi AHAME NCHI ila ANAHITAJI KUISHI MAZINGIRA YA UCHUMI YALIYO SAWA NA MAREKANI.

LUGHA YA FALSAFA

#ASANTE
#YNWA
 
Kutamani mtu awe mke wako maana yake nini? Tukubaliane tu kuwa bango lake lina utata. Inawezekana hakuwa na nia hiyo ambayo sisi tunafikiria lkn lugha aliyotumia imefanya tuwaze huko.
Naamini kiswahili ni lugha yako ya pili au ya tatu,wale ambao kiswahili ni lugha yao ya kwanza wamenielewa
 
Sio kweli hiyo. Inaonesha walikuwaga na kamchezo flan zamani kabla dada hajaolewa, Ndo maana akakurupuka kumpata mwenzi bila uchunguzi wa kina.
Ushauri;
Aondoke kwa dadake haraka kabla shem hajamgundua
Nikupe pole tu
 
Wewe umeona sawa wadau walivyokuelewa? Ungesema natamani mke wangu angekuwa na tabia kama za dada yangu sio natamani dada yangu angekuwa mke wangu. Ni vitu viwili tofauti
Hii lugha ni ngumu sana,ndio maana kumetokea mgawanyiko kwenye uzi huu,wanaoijua vizuri hii lugha wameshanielewa wala hawahitaji marekebisho
 
Katamani TABIA sio MTU..

Mtu akikwambia "NATAMANI KUISHI MAREKANI"
Hamaanishi AHAME NCHI ila ANAHITAJI KUISHI MAZINGIRA YA UCHUMI YALIYO SAWA NA MAREKANI.

LUGHA YA FALSAFA

#ASANTE
#YNWA
Kwani mkeo wewe ulimtamani MWILI peke yake au na tabia zake?
 
Back
Top Bottom