Maskiniii[emoji29]Nna kisa kimoja kuna Dada my workment aliniomba nikamchukue kakaake anaumwa sana, kweli jamaa alikuwa kazidiwa sana hata kwenye gari kukaa hakuweza ilibidi nimlaze tu, nafikanae hospitali mkewe alikuwepo nakumbuka simu ya jamaa ikaita ile jamaa anajikokota kuongea na simu yule mwanamke alimnyang'anya na kumporomoshea maneno ya hovyo sana kiufupi jamaa alinyanyapaliwa sana na mkewe tena mbele yangu, ghafla dadaake alifika pale treatment aliopewa mgonjwa ni nzuri hata uso wa mgonjwa ulianza kuleta matumaini, nikajiuliza moyoni mwake anajutia kiasi gani kuwa na mwanamke aliena!!
Mambo ni shwari financial business za kwakoHahaa mlevi mmoja tayari ushabwia mitungi nini, hizo mazafanta vipi[emoji3] [emoji3] ,mambo lakini mlevi sugu 1!
Doooh nimekushindwaa, Mi niko poa kabisa rafiki, have a nice evening!Mambo ni shwari financial business za kwako
Wameniuzi hawa wanaoelewa bandiko tofauti hawa chicken nuggets
In Spanish tunamalizia kuwaambia
"hijo de puta ""
Katamani TABIA sio MTU..
Mtu akikwambia "NATAMANI KUISHI MAREKANI"
Hamaanishi AHAME NCHI ila ANAHITAJI KUISHI MAZINGIRA YA UCHUMI YALIYO SAWA NA MAREKANI.
LUGHA YA FALSAFA
#ASANTE
#YNWA
Sin comentarios ellos son estupidiosQual é puta entre voces?
Yaaani nimecheka sana unavyovurumisha hayo matusi. Nilichogundua, stress zako zinapunguza stress zangu........nazidi kucheka. Dah! Kufa kufaana. Thanks anyway.watu ni mazumbukuku mnajua kumtamani vipi
Mnakazia incest kwa mtoa Mada.. Mna uelewa finyu
Blood great sinker mazafanta fakeni shiti asshole
Amependa MATENDO YA DADA AKE na si MWILI WAKE...Kwani mkeo wewe ulimtamani MWILI peke yake au na tabia zake?
Katamani TABIA sio MTU..Umepata wap ujasir wa kuwaza haya??
Katamani TABIA sio MTU..Una laana wewe.... unamtamanije dada ako?