Nataka Unitongoze

Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
Kuna siku moja hivi nilikuwa sina hili wala lile. Nimekaa tu nyumbani naangalia dari, kuta, na sakafu za marumaru.

Basi nikampigia simu mshkaji kuona ana mpango gani kwa jioni ile.

Akasema 'Ngabu kwa nini tusiende Ramada tukajivinjari hapo?'. Nikasema poa. Nikaenda nikamkuta tayari keshafika yuko na wachuchu wawili.

Nikaagiza Pinot Grigio halafu nikajichanganya naye. Sasa nikawa nimevutiwa na yule binti mwingine, Janeth.

Nikaanza kupiga naye stori na mambo mambo. Sasa huhitaji kuwa mwanasayansi wa roketi za anga kung'amua kama nilikuwa nimemtamani. Hata yeye aliliona hilo lakini akawa anajishebedua tu.

Baadaye ndo akaniambia eti anataka nimtongoze. Nikapigwa na butwaa. Ina maana wakati wote huo nilikuwa simtongozi?

Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.
Umwambie unampenda!! Kimapenz sasa kama kuangaliana si hata wanawake nao huangaliana
 
Hahahahahahahah.... Umenikumbusha Mbali sana .... You made my day

Me making your day completes my day!

Damn...I wouldn't even mind making it a habit of a lifetime!

Msweet
 
IMAG4518_1.jpg
IMAG4476_1.jpg


IMAG4496_1.jpg

Ndio ya upande huu wa mjini au ile ingine?
Yalaaaaaaaaaa...natumaini sio wewe mleta mada ha hahaaaaaa sababu nilikuona...😉😀
 
hehehehehehehe mkuu unapoteza muda na huyo mtu?? Kwani wewe humjui kwa vituko na vibweka vyake humu..

Bitch acting like he knows everything...
Namjua sana Matola mkuu ,huyu jamaa yupo kama mbogo aliyejeruhiwa muda wote ,ngoja atakuja utamwona atakavyo bwabwaja ,
 
By the way i have nothing to hide, na nina good friends humu tunaomingo kivyetu out of JF business.

Juzi nilijfunza Tor browser leo nilikuwa na wataalamu wa geology na nimejifunza mengi pia, how do you think JF ilivyo useful kwangu instead of Attention seeking?
Dah hapa umekuwa humble sana vipi nini kimekusibu ?? Sasa nilitaka nikufundishe njia nyingine ya kufanya tracking ila kwa sababu umeweka nondo za geology meza hizo kwanza siku nyingine nikupe darasa
 
Namjua sana Matola mkuu ,huyu jamaa yupo kama mbogo aliyejeruhiwa muda wote ,ngoja atakuja utamwona atakavyo bwabwaja ,
hehehehehehe Tor Browser.. Hivi mtu akijua wewe ulipo kuna ubaya gani??

Au ndio wale wa kudanganya wako sehemu fulani angali hawako huko.. Yaani unaanza kutumia mabrowser kibao ili tu uhide sehemu ulipo?? Kwani humu JF kuna uhalifu unafanya mpaka upate shida zote hizo..
 
Nafikiri wadada wengine ushamba na utoto mwingi ndio unaowasumbua.

Hakuna sababu ya cutting corners...afterall ni mchezo ambao kwa wale wastaarabu normally hakuna kulazimishana.

Inakuwa spontaneous.....
 
hehehehehehe Tor Browser.. Hivi mtu akijua wewe ulipo kuna ubaya gani??

Au ndio wale wa kudanganya wako sehemu fulani angali hawako huko.. Yaani unaanza kutumia mabrowser kibao ili tu uhide sehemu ulipo?? Kwani humu JF kuna uhalifu unafanya mpaka upate shida zote hizo..
Hahahaha halafu average person atakayetumia IP address kufanya tracing sana sana atakacho ona ni region au City uliyopo ,hawezi kujua majina yako wala chochote sasa mbaya zaidi ukute unatumia Wi-Fi ndio kabisa hawakupati ,vingine wataenda tu kwa ISP kupata majina na adress ya mtumiaji ,ambavyo kukupata pia ni kazi nyingine kwa sababu anayelipia internet anaweza akawa sie ndie aliyetumia ,basi Matola na Tor browser yake kaikomalia kweli kweli wakati ina VPN tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom