Nataka Unitongoze

Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
Bwahaaaaaaa bwahaaaaaaaa bwahaaaaa!
Wewe acha kulia alia hapa
Baba yako shahada ya kwanza kachukulia UDSM. Take that! Take That!
Hizo nyingine alichukulia huko Americas, na swala la kufundisha UDSM yule hakufundisha pale miaka yote.
Alirudi tena UDSM miaka ya 80's.
Bwahaaaa bwahaaaaaaaa!

Is that all you got?
 
Naona unapiga mule mule.. Ebu endelea kutiririka, Ila Nyani ni mjanja so unatakiwa uwe mjanja mara mbili yake.. One mistake ataichukulia advantage.. Legoooo mamen

Unajua humu mitandaoni kuna watu wa aina tofauti sana!
USA BABY, lets roll.
 
Naona unapiga mule mule.. Ebu endelea kutiririka, Ila Nyani ni mjanja so unatakiwa uwe mjanja mara mbili yake.. One mistake ataichukulia advantage.. Legoooo mamen

Hahahaaaa kumbe umenigundua eeh?

Niko mjanja kupita maelezo.

Hakuna anayenijua humu ndo maana natamba sana.
 
Hahahaaaa kumbe umenigundua eeh?

Niko mjanja kupita maelezo.

Hakuna anayenijua humu ndo maana natamba sana.
hehehehehehehe leo niko naangalia swahiba wangu Mali anavyokucharaza hapa..

Ila ndio kukubali najua hutataka kukubali kwamba anakujua..
 
hehehehehehehe leo niko naangalia swahiba wangu Mali anavyokucharaza hapa..

Ila ndio kukubali najua hutataka kukubali kwamba anakujua..

Sasa Mangi nitakubalije vitu vya uongo?

Mpaka sasa hajaweka ushahidi wa chochote zaidi ya maneno tu.

Nishatoa rukhsa ataje majina lakini naona anakata viuno tu.

Hivi kweli kabisa unadhani angeweka vitu vya ukweli hapa bado ningeendelea kuwepo?

He is just running his mouth blowing hot air and smoke
 
Wa aina hiyo anaweza kwenda na mtu mpaka kwenye chumba lodge/hotel or whatever the place na kudai hakujua nia ya jamaa.
Kama ulikuwepo mkuu,jana tu imenitokea hiyo,kuna demu ametoka town majuzi kaja bush sasa na mimi kitambo nilikuwa sijaja kijijini,kwa kifupi nilimwacha akiwa mdogo sana kiasi nilishamsahau,ile tumekutana akanichangamkia kweli kweli hadi nikahoji kama ananifahamu maana mtoto si mchezo aisee!akadai ananifahamu na baada ya kumkumbuka tukapiga story za kuvuka mipaka,akakubali na akaridhia ombi la kuja geto,alifika na tukafanya yetu.Cha ajabu baada ya kumaliza akanikasirikia hadi mida hii eti kisa kwanini sikumwambia tunaenda kufanya nini geto!!!!
 
ningekufundisha ila ngoja kwanza na mimi nisome hapa kisha nitarudi kuongezea baada ya kujua wenzangu wanatongozaje.
 
Kwa hiyo ulikuwa unapiga story then unataka papuchi..Duh!! ulikuwa unaota..
Demu alichoka story zako ndio maana akakuambia "Nitongoze"😀😀😀
 
sasa story sio kutongoza bhana tonfoza kwakusema haja yako au ulikuwa ukipigia stor haja yako nayeye hakujuwa
 
Kutongozwa kuna raha yake Sana, hasa pale mtu anapokueleza hisia zake huku kakushika viganja vya mkono akipapasa taratibu.

Siku hizi tunafanyaga tu mtongozo mtu akifika bei.
 
Ebu njoo PM mkuu..

Huyu jamaa anasulubishiwa hapa hapa.
Hebu pitia Encyclopedia yako then uje tuendeleee.
Angalizo huyu jamaa ni NATURALLY BORN SPIN DOCTOR, he can cook lies and make them appear like real just to protect his cover. Na wala siyo mkubwa kama anavyotaka tuamini watu hapa ni umri wetu tu, sema aliwahi kujua kutumia Internet huko nyumbani na New York pale.
And oooh yeah he has a daughter, I once thought she's big but after finding out she's just very young na jamaa haachi kukasifia huko mitandaoni kwa jina lake halisi. He just hope she would be smart like her Cute Auntie and Momma.

Sasa hinti nyingine NGABU JUNIOUR ana majina fulani hivi VERY INTERSTING!
Teh teh teh teh teh teeeeeeeeeh.
Bwahaaaaaa bwahaaaaaaaaaaaaa!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ushamba ni kujifanya unamjuwa Anonymous wakati unachart na Ghost tu.

Wewe mbona unaingilia mambo yasiyokuhusu?
Halafu mbona inakuuma sana kuliko muhusika?

Ghosts?
Nyani Ngabu siku hizi kawa Ghost?
Seriously? Wewe jamaa una shida.
Bwahaaaaaa bwahaaaaaaaa bwahaaaa!
😀😀😀😀😀😀
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom