wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 491
- 763
Wakuu habarini za majukumu? Ndio muda muafaka wa Mimi kuanza kusoma master degree ili niweze kuingia cheo Cha principal 2 . Nimechukua maamuzi haya baada ya kukamilisha ndoto zangu nilizopanga kwamba zikitimia ndio ntaenda kusoma. Ndoto hizo ni pamoja na;-
1. Kuajiriwa;
2. Kuoa na kuzaa watoto;
3. Kujenga nyumba ya kifahari yenye paving, garden, fensi, CCTV camera,
4. Gari yangu na wife
5. Watoto kwenda shule.
6. Kununua viwanja Mikoa ya Pwani, Dodoma, singida na Arusha.
Ndoto hizo zote zimetia.
Ndoto ambayo Bado ni kuendelea Kununua mifugo huko kijijini ili hata nikistafu niende kutunza mifugo yangu nikichoka narudi mjini kula Bata.
Nikiwa kazini nimejitathimini nikajikuta Nina uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi Kwa weledi wa juu Hali inayopelekea wenzangu kuniaminia.
Mwanzoni niliona sina haja ya kwenda kusoma master degree Kwa kuwa nilijiona Niko vizuri kichwani Kwa kutumia elimu ya ngazi ya degree niliyopata chuo Kikuu.
Lakini Kuna muda wenzangu wakaanza kuniambia kuwa siwezi kupanda cheo Cha principal 2 na 1 bila elimu ya master degree jambo ambalo nimeanza kuchukua maamuzi ya kuliweka kwenye mpango wa mwakani ili niweze kwenda kusoma.
Mimi kitaluma nimesomea maswala ya uchumi, Sasa mnanishauri nikasomee course gani ngazi ya master? Na kwanini hiyo course?, Gharama zake zikoje? Tija yake ikoje bila kujali lengo la kupandishwa cheo..