DooohIko hivi.....
Siku zote waswahili husema, wakati ukuta ukipigana nao utaumia. Baada ya kupambana na kubishana sana na mawazo yangu nikasalimu amri.
Hatimae nikakubali ombi la Le Mahabat wa Kasie.. ...
Ombi alilonitumia ni kutaka nimpe mkono wangu, nimuamini tuishi wote pamoja yaani Kasie na Le Mahabat.
".....
Kasie beibe.....
Nataka niwe na wewe milele
Nataka tuwe na watoto beibe Kasie.. .
Nataka tuishi wote pamoja...
Nataka niwe na wewe milele Kasie.. ..
Nataka tuishi wote pamoja.....".
Naanzaje kubisha sasa maana kwa maneno hayo kanikumbusha enzi cha kiuno bila mfupa Ray C.
Le Mahabat wa Kasie.. ... mwaah!!
Haha mamy nitasemaje sasa mimi.
Ok, I always remember that day I met you. my heart said go get you now you live in my world and I live in your world.
Dady love you much(nigerian voice).
Mkuu asante hata matapu tapu mimi napiga tu... hata makatabreak nabunyua chaliake
Ride or die....Aaauuwww Daby.... I laaab you so much oooo (in Nigerian voice too).
ok my wifi nimefurahi kusikia kutoka kwako, as long as my shem is happy, I have no problem ohoooooHuo ndo uhalisia, Kasie ni mzee bin kibibi bin kigagula, sio mschana.
kikikikikikkkk napita mieRide or die....
(Dady) I swear I'll never lie to mamy.
Sijui niwe msomaji Hadi kufikia hapa.[emoji120][emoji120]
Angalia usije ukaniachia bill tu mkuu 255.Bhasi mkuu angiza ata dadiii nackiag olmatejo yanapatikana
Asante. Lakin sijajua ni pole ya nini.Poyeee
Haha yaani kasie kamteka Daby na sitaki hata kutafutwa nifiche vizuri tu hahaHahahahahahaa hii inaitwa chako changu, changu chako, vyote vyetu... Daby and Kasie.... ever smiling...
Najshsbdhdiskejdushdbdj
Hicho kicheko kimelipa kodi!kikikikikikkkk napita mie
hahahahahahah kama ni mambo ya kumweleza kwanza bhana acha tu basi, ilikuwa mambo yetu ya wanawake ya boma.Kama hauna madhara basi mkutano huo utapata baraka zote kutoka kwa Daby, ila kama utaleta madhara bora ajue mapemaa....