Nataka niwe maarufu jamani.. Nifanyeje??

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,899
3,683
Mke Bwaxx wazeiyaa
(nilivosema wazeiyaa nikakumbuka zile mixtape za Virus za mzee sugu wakat anawaponda Mawingu FM RADIO ya wafu)

Anyway, hao walikua wadhamini wa habar za mchezo ( Simaanishi Sports HQ ya 93.7 FM kwa Maulid Kitenge)

Sasa ni hivi mazee....
Main topic ni kuwa
NATAKA NIWE MAARUFU HUMU JF.

Niwe famous kama kina
Faizafoxy
Mshana JR (mzee wa story za uongo)
The Boss
Nyani Ngabu
Heaven sent
Mwajuma mchawi
Mzizi mkavu (mzee wa nguvu za kiume, kila uzi wa PE na nyeto humkosi, cjui jamaa ana PHD ya haya mambo)

Tuendelee....
Myname is myname..
Na yule mdada kweny avatar yake kuna mdada kachuchumaa kavaa kichupi halaf kashika bunduki..

Na wengne wengi..

Sasa jamani nitumie njia gani??

Maana mwanzo nilisema nitumie njia ya MATUSI...
Yaan kila mara na post threads za MATUSI tuu...
Nafungua kila uzi then na comment MATUSI tuu bila kujali topic Husika..
Tatizo nikawa napigwa BAN..

Nishaurini jaman Namie nataka watu wawe WANANI TAJA TAJA HUMU..

CJAWAHI KUONA mtu kanitaja humu..
Ushaur tafadhal....
 
Jibu swali utakufa lini?
 
njia rahisi ya kupata kiki humu ni kutuletea hadithi, kwa siku kama hz za w'end tunatulia tukisoma riwaya, unaipeleka mpaka inafikia patamu unaiacha hewani.. sio humu tu utafuatwa mpaka pm.. teh
 
Andika orodha ndeeefu ya wasichana uliotoka nao humu (bila kuzingatia ukweli upoje) af jitangaze unaukimwi kama yule mchaga... ukisema umewala ndogo 95% yao au hata baadhi ya male members humu tena bila kufafanua zaid itasaidia kwny hako ka drama.
oooh and watag watu wengi sana bila sababu za msingi. nakuhakikishia utatajwa tajwa humu, wewe na mamayako kwa mawiki kadhaa.
 
Umarufu..... !!
Baada ya kuwa maarufu?
hakili yako haina madin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom