Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
Mtusi kwa kingereza ndio raha
NEnda duka la mangi, kunywa bia au konyagi, kingereza kinashuka chenyewe tu
Mie fomu foo nilipata A ya inglish, chezeiya Nyagi siku ya mtihani wewe?
NEnda duka la mangi, kunywa bia au konyagi, kingereza kinashuka chenyewe tu
Mie fomu foo nilipata A ya inglish, chezeiya Nyagi siku ya mtihani wewe?
Kwa hiyo nimeingizwa cho cha kike siyo. Mwambie Yo Yo aniandikie kiswahili uone nitakavyo mutusi. Aiwezekani