Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,435
- 23,091
Ni kweli ni nzuri,lakini sasa mbona shida sio kupiga simu tu?Simu ni nokia tu, tena iwe ya tochi.
Ni kweli ni nzuri,lakini sasa mbona shida sio kupiga simu tu?Simu ni nokia tu, tena iwe ya tochi.
Si kweli mkuu,ni mtazamo tu.Mimi ninayo Techno W4 naitumia mwaka wa nne mzima huu sasa,wala haina shida yeyote.Tecno siyo simu bali ni mfano wa simu,sumsung ni simu,hivyo huwezi linganisha tecno na samsung hata kidogo
Samsung tatizo lao liko kwenye btriii, yaani betrii zao hazidumu kivile
Narudia tena, simu ni iphone tu, vyengine ni vikorokoro.
Itel bwana bei cheee lakinii zipoo vizuri SanaaItel ni kiboko
Tecno aina ipii hiiMimi niko data on muda wote lakini inakaa hadi masaa kami na tano. Tecno naikubali sana.
Tecno aina ipii hii
Si kweli mkuu,ni mtazamo tu.Mimi ninayo Techno W4 naitumia mwaka wa nne mzima huu sasa,wala haina shida yeyote.
Nimesoma user name yako kisha nikasoma comment yako nimebaki kucheka tu.!Tecno ni nzuri kuliko Samsung maana ikipotea hautakuwa na mawazo kama aliyepoteza Samsung.
Ina maana nimekuwa kituko.
Nimesoma user name yako kisha nikasoma comment yako nimebaki kucheka tu.!
Hahaha hahaKwani kuna kitu kibaya kinachouzwa dukani.
Ni kuwa makini tu mkuu,inawezekana kabisa.miaka 4 unatumia simu ile ile haianguki chini? hawaibi? Kweli we ni shujaa!
Ni kuwa makini tu mkuu,inawezekana kabisa.