Nataka ninunue smartphone

Nataka ninunue smartphone

Sijui uwezo wa betri mnalinganishaje, mimi ninaona Samsung kwa sasa wameboresha mfumo wa betri, cha msingi nunua original.

Kwa mfano, kama ni mtu wa kuchati kwa kadiri, yani unaingia na kutoka, unaweza kushinda kutwa nzima hujaichaji simu.Ninajua kuwa kuna simu zina uwezo zaidi ya huu, lakini kwa simu janja nyingi, kushinda kutwa nzima hujachaji ni uwezo mkubwa pia.
Ni kweli achukue hizi za 2018 zote ziko vizuri kwanzia muonekano display battery life na features nyingi.
 
Kama una hela samsung ni nzuri kama huna hela na budget yako ni kama laki 2 au 3 tecno ni simu nzuri sana
Mbona zipo samsung za bei hiyo pia inategemea nini anataka kwenye simu na ingekuwa vizuri angesema anataka aina ipi ya tecno au samsung ili tumshauri.Swali lake limelenga ki ujumla kati ya kampuni na kampuni always aliyetangulia kwenye industry atakuwa yuko vizuri.
 
True mkuu. Mm natumia samsung galaxy grand prime pro. Inakaa na chaji siku mbili hapo napiga muziki. Nachat watsap na meseji za kawaida. Cm yangu ni orijino imetoka 2018
Hizi simu zenye neno pro mwishoni ni habari nyingine, natumia j7 pro.
 
Hizi simu zenye neno pro mwishoni ni habari nyingine, natumia j7 pro.
Yaah kampuni inakuwa imezipa kipaombele grand prime pro itapokea Oreo update pia j7 pro nahisi ishapata android 8
 
Mimi natumia toleo la nyuma kidogo galaxy S7, haisumbui battery kwakweli.Nikiwa sijakomaa nayo kiviiile kupakua na kutuma mipicha au video inashinda kutwa nzima.

Changamoto ni kwenye ku-update software ya simu yenyewe, eti mpaka wifi.Apps hazina tatizo, unaupdate kwa data ya mtandao wako tu.Hiyo update ya simu ndo mpaka upate mtandao nje ya simu.Inanikera sana ukizingatia bongo wifi ni kama Tanzanite.Labda utumie mtandao wa simu nyingine tu.
 
Ni simu nzuri mbona ipo options pale ku tumia wifi only or mobile data kwa kuwa wifi mpaka uwe eneo linalokamata hotspot chagua mobile data uwe na bando kama gb 1 au 2 haizidi hapo kwa new android vision
 
Asante.Huenda ninatakiwa kuiupgrade, hiyo sehemu ninacheza nayo sana. Nimefanikiwa kuupdate apps tu, si software updates.

Ngoja nihard reset huenda ikaja kivingine
 
Back
Top Bottom