Nataka ninunue smartphone

Nataka ninunue smartphone

Makampuni yaliyobaki ya simu hapa duniani ni mawili tu.
 
Sijui uwezo wa betri mnalinganishaje, mimi ninaona Samsung kwa sasa wameboresha mfumo wa betri, cha msingi nunua original.

Kwa mfano, kama ni mtu wa kuchati kwa kadiri, yani unaingia na kutoka, unaweza kushinda kutwa nzima hujaichaji simu.Ninajua kuwa kuna simu zina uwezo zaidi ya huu, lakini kwa simu janja nyingi, kushinda kutwa nzima hujachaji ni uwezo mkubwa pia.
Umenena vema mkuu, mimi na Samsung yangu nakaa siku nzima sijagusa charger kabisa! Tena kama najua niendako sina access ya umeme, naweka power saving mode, hapo hata siku mbili au tatu inakaa.
Cha msingi hakikisha vitu hivi viko off kama hauvitumii:
1. Data
2. Bluetooth
3. Location
Pia jitahidi kuchaji simu yako mpaka ijae vizuri na sio nusu nusu.
Ukifanya hivyo hakika hutajutia kuwa na simu yako, mie simu yangu ni mwaka wa pili na betri iko vizuri kabisa.
 
Yeah.Baadhi ya changamoto hutokana na watumiaji wenyewe.Baadhi yetu hatujui a wala be, mradi tumenunua simu ya hela nyingi baaasi inatosha.Hujui lolote kuhusu kutunza chaji wala mambo matamu ya kuenjoy kwenye simu.

Wengi hatujui settings za simu.
 
Ina tochi kwa mwanga bora, ina games hasa lile la nyoka. sumsung is better
Haya bwana, it all depends on your interests.Mimi huwa napenda sana kusoma,kwa hiyo Nokia ya tochi kwa vile haina mtandao, hainifai,pamoja na uimara wake.
 
Kulinganisha teckno na samsung ni sawa na kulinganisha magu na mkwale.
 
Mkuu kwan hauijui Uniform ya taifa kwa sasa..???...(Tecno ni proper uniform) izo zingne ni improper uniform mkuu utachaniwa au watakupunish mkuu.
 
Samsung ni bora kwa kiasi fulani,ila ni ghali.Kama una hela zisizo na kazi,hasa ukizingatia kwamba vyuma vimekaza,nunua Samsung.Ila kama ni mtu unaejali pesa,nunua Techno.Ni nzuri tu,mimi ninayo Techno W4 sasa mwaka karibu wa nne huu, inadunda tu.
Techno? Kama imeandikwa hivyo basi ni feki hiyo
Kama ilivyo Sansun
 
Samsung tatizo lao liko kwenye btriii, yaani betrii zao hazidumu kivile
Yawezekana matoleo ya zamani kidogo hizi za 2017-2018 na zitazokuja usitegemee tatizo la battery unaweza kuta ina mah 2600 lakini inazidi yenye mah 4000 nime experience hilo
 
Sijui uwezo wa betri mnalinganishaje, mimi ninaona Samsung kwa sasa wameboresha mfumo wa betri, cha msingi nunua original.

Kwa mfano, kama ni mtu wa kuchati kwa kadiri, yani unaingia na kutoka, unaweza kushinda kutwa nzima hujaichaji simu.Ninajua kuwa kuna simu zina uwezo zaidi ya huu, lakini kwa simu janja nyingi, kushinda kutwa nzima hujachaji ni uwezo mkubwa pia.
True mkuu. Mm natumia samsung galaxy grand prime pro. Inakaa na chaji siku mbili hapo napiga muziki. Nachat watsap na meseji za kawaida. Cm yangu ni orijino imetoka 2018
 
Back
Top Bottom