Nataka nimpige marufuku asirudi tena

Nataka nimpige marufuku asirudi tena

Mkuu embu
Habari wakuu

Kuna binti alikuja home miezi kadhaa nyuma baada ya kumaliza O level kwa ajili ya maandalizi ya Advance kwani alifaulu

Sasa baada ya kuzoeana alianza kuonesha interest tofaut tofaut za kimapenzi kwangu ila mimi kiukweli nlimuignore na sikufanya nae chochote zaidi ya kissing tu usiku mmoja aliponivamia gheto kwangu bila kutarajia

Sasa ijumaa iliyopita nlikua natoka center mida ya saa tano usiku nlipokaribia karibu na hom nkaona anaongozana na jamaa hadi kwenye chumba tulichompatia kwa ajili ya kukaa maana kinajitegemea

So nlichofanya nlienda hadi dirishani kwake nikagonga nkamuita ili kuwaaribia mood then nkaondoka then baada ya dk kadhaa akantxt eti"Kuna mgeni" nkamjibu Nimeona kila kitu na naomba umuondoe haraka sana.

Baada ya mda nkarudi kuhakikisha nkawaona wanaagana na akantxt kwamba eti mara yake ya kwanza kumleta na hii nimesababisha mimi maana namuignore.

So wadau mpaka leo sijamwambia mwanafamilia yeyote kuhusu hili swala ila nataka nimwambie huyu binti kuwa siku atapoondoka kwenda shule asiwahi kurudi tena hapa nimeshajaribu kumtxt aje nimwambie physical ila ananikwepa sana

Je ntakua sawa nikimpiga biti asikanyage tena hapa hom?
[/QUOTE
Hama nyumbani kwanza
 
Ww ulileta pozi kumkaza unadhani wenzio watamuacha eti kisa mwanafunzi...kakuonyesha kuwa yeye mkubwa analeta wanaume wanalala humohumo anachezea dudu ucku kucha
 
Habari wakuu

Kuna binti alikuja home miezi kadhaa nyuma baada ya kumaliza O level kwa ajili ya maandalizi ya Advance kwani alifaulu

Sasa baada ya kuzoeana alianza kuonesha interest tofaut tofaut za kimapenzi kwangu ila mimi kiukweli nlimuignore na sikufanya nae chochote zaidi ya kissing tu usiku mmoja aliponivamia gheto kwangu bila kutarajia

Sasa ijumaa iliyopita nlikua natoka center mida ya saa tano usiku nlipokaribia karibu na hom nkaona anaongozana na jamaa hadi kwenye chumba tulichompatia kwa ajili ya kukaa maana kinajitegemea

So nlichofanya nlienda hadi dirishani kwake nikagonga nkamuita ili kuwaaribia mood then nkaondoka then baada ya dk kadhaa akantxt eti"Kuna mgeni" nkamjibu Nimeona kila kitu na naomba umuondoe haraka sana.

Baada ya mda nkarudi kuhakikisha nkawaona wanaagana na akantxt kwamba eti mara yake ya kwanza kumleta na hii nimesababisha mimi maana namuignore.

So wadau mpaka leo sijamwambia mwanafamilia yeyote kuhusu hili swala ila nataka nimwambie huyu binti kuwa siku atapoondoka kwenda shule asiwahi kurudi tena hapa nimeshajaribu kumtxt aje nimwambie physical ila ananikwepa sana

Je ntakua sawa nikimpiga biti asikanyage tena hapa hom?
Ivi kwani Kuna dawa genye mkuu, hata ulivyomwambia aondoke huyo jamaa lazima atakamnyaga tu, sema ni vyema kuliko kufumbia macho
 
Ulifanya sawa bro kwa maslai ya usalama wa hom.
Km vp angemfata msela. Cku nyingine mpe makofi toshelevu. Inakuaje mgeni anakalbisha mgeni ugenini?Pumbaaaaaff
 
Hakuna haja ya kutukana kaka
Me kama mtoto wa kiume sio poa kuona vishkaji vya kitaa vinakuja kumfinyia homland kbsa
Me ni mtu poa sana ndo maana mpaka sasa sijafanya lolote na karibu wiki inaisha so nnawaza ndo icho ambacho nmeona nije kwenu kuomba ushaur
Hakuna mwanaume wa aina yako dogo. Yaani unamuona dada yako cjui ndugu yako anagegedewa kwenu badala ya kureact wakati huo huo unasubiri kukuche utafute bando uje kuomba ushauri ufanyeje.? Narudia tena. Pumbavu kabisa acha kujihusisha na mambo ambayo huyawezi... Au kamuulize mzee wako ufanyeje ama kama mmeshafungua shule kamuulize second master wenu pale akwambie cha kufanya.
 
Me mtu mzima kaka 27 sio ndogo
Sema nlitumia busara zilopitiliza maana ngereact ucku ule najua yangezuka mengi sana
Hakuna mwanaume wa aina yako dogo. Yaani unamuona dada yako cjui ndugu yako anagegedewa kwenu badala ya kureact wakati huo huo unasubiri kukuche utafute bando uje kuomba ushauri ufanyeje.? Narudia tena. Pumbavu kabisa acha kujihusisha na mambo ambayo huyawezi... Au kamuulize mzee wako ufanyeje ama kama mmeshafungua shule kamuulize second master wenu pale akwambie cha kufanya.
 
Habari wakuu

Kuna binti alikuja home miezi kadhaa nyuma baada ya kumaliza O level kwa ajili ya maandalizi ya Advance kwani alifaulu

Sasa baada ya kuzoeana alianza kuonesha interest tofaut tofaut za kimapenzi kwangu ila mimi kiukweli nlimuignore na sikufanya nae chochote zaidi ya kissing tu usiku mmoja aliponivamia gheto kwangu bila kutarajia

Sasa ijumaa iliyopita nlikua natoka center mida ya saa tano usiku nlipokaribia karibu na hom nkaona anaongozana na jamaa hadi kwenye chumba tulichompatia kwa ajili ya kukaa maana kinajitegemea

So nlichofanya nlienda hadi dirishani kwake nikagonga nkamuita ili kuwaaribia mood then nkaondoka then baada ya dk kadhaa akantxt eti"Kuna mgeni" nkamjibu Nimeona kila kitu na naomba umuondoe haraka sana.

Baada ya mda nkarudi kuhakikisha nkawaona wanaagana na akantxt kwamba eti mara yake ya kwanza kumleta na hii nimesababisha mimi maana namuignore.

So wadau mpaka leo sijamwambia mwanafamilia yeyote kuhusu hili swala ila nataka nimwambie huyu binti kuwa siku atapoondoka kwenda shule asiwahi kurudi tena hapa nimeshajaribu kumtxt aje nimwambie physical ila ananikwepa sana

Je ntakua sawa nikimpiga biti asikanyage tena hapa hom?
Hivi kwanini madomo zege wengi skuli walikuwaga wanokoo
 
Back
Top Bottom