Nataka nimpige marufuku asirudi tena

Nataka nimpige marufuku asirudi tena

basi wewe mjinga sana mkuu, nyapu imejileta unaiangalia tu halaf unaingiza wivu wa kijinga kwa mwanaume mwenzako huo ji upimhi zaidi

Hebu To.mba huyo demu hata ishu ikisanuka hamna atakayekulaumu sana
Kwa sasa siwezi tena kaka kashaaribika naona kanyoa hadi kiduku sai humwambii kitu

Afu pamoja na yote naona kama hajali chochote
 
HIZO "n" UNASHINDWA NINI KUWEKA "i"........?????
nina wasiwasi na wewe kulingana na maandishi yako. huwezi kuvamiwa na mwanamke eti ukamkiss tu na kakuvamia. BWEGE MKUBWA .
Dah kaka nlikua kwenye stress sana wakati huo ckua na wazo nae kbsa
 
teh...kameshakuwa kamalaya sio

kwahyo hapo hom kwenu hamna wazazi na mama yake hayupo
Wazaz wetu hawapo kwa sasa
Mama alifariki baba anakaa nairobi

Hapa tupo mie na bro na family yake kwo anakaa na kina bro hapo mie niko nyuma kidogo ila ni hom tu
 
Haha dah watu wa humu badala msticky kwenye wazo kuu la mada mnadeal na visivyo na maana
wewe domo zege sasa huyo demu kashapata ndugu yake wa damu wakumuwekaa.....ww endelea kutupa mrejesho wa jinsi unavyoharibu show za jamaa kisa wivu
 
Back
Top Bottom