Nataka nimpige marufuku asirudi tena

Nataka nimpige marufuku asirudi tena

Wewe kaka usiwasikilize hawa...msichana ndo kwanza unaenda A level.unaanza ingiza wanaume tena ugenini hii sio dalili njema kbs..kwanza kitafeli shule labda kiwe na akili za ziada...katakuletea magonjwa bure..katumie msg kaambie kaka amejua ameksairika sana...kaambie kakifunga shule kasije hapo..ww unashindwaje kumpa mtu biti na ni kwenu??shauri zako..utakuja nikimbuka..hv amekuanza wa atahamia kwa kaka yako
Kabisa dadangu nashangaa watu wamedeal namm kuamua kutosex nae wanaacha kuangalia vitu vya msingi
 
Kama ni kweli huyo dogo ni mpuuz mtimue tu.

Sema tu unatia wasiwasi. Kama ulikwisha fanya kissing na yeye ukashindwa kumtia bas nawe pia ni mpuuz. Kissing ya nini wakati huna interest naye?
 
Na moja ya vi2 nsivyopendaga ni girl kuonesha love signs kwangu,huwa nahic kma ni kagari kamkaa tayar ndo maana nlikakwepa

Ssa kalivo kajinga kakaamua kurevenge kanavodai

Hahahhaa ni kweli kbs..raha ya mwanamke utongozwe bwana...!sio.ujitongozeshe...yaan hako kameanza kudanga udogoni hvyo?kawekee hatebya kufa mtu kagundue kbs...ika kuna watu wanapewa malezi ya ajabu...yaan niende ugenini nilete mpenzi hapo home???shenzy san
 
Kama ni kweli huyo dogo ni mpuuz mtimue tu.

Sema tu unatia wasiwasi. Kama ulikwisha fanya kissing na yeye ukashindwa kumtia bas nawe pia ni mpuuz. Kissing ya nini wakati huna interest naye?
Ilitokea ghafla2 as human nkaona kuliko kumuignore total ngja nifanye2 ivo ila nsiende mbali zaidi
 
Hahahhaa ni kweli kbs..raha ya mwanamke utongozwe bwana...!sio.ujitongozeshe...yaan hako kameanza kudanga udogoni hvyo?kawekee hatebya kufa mtu kagundue kbs...ika kuna watu wanapewa malezi ya ajabu...yaan niende ugenini nilete mpenzi hapo home???shenzy san
Dah yan hata kwenye chats mambo kalokua kanaongea sijawai hta kuyackia ndo nkapeperuka kbsa

Sasa Ndo Kama bahati nkakafuma juzi kati
Saivi ananyoa kiduku akati kaja nywele tii
 
sio kukapiga beat piga makofi kabsa kabla hakajawapanda kichwani!

halaf inaonekana huwa mna mazoea ya kijinga hadi mnavhat chat tu upuuzi

Mie hom tumeishi na ndg wengisana .nisingekuwa mkali wangenila kila mtu...yaan nilifukuza watu km wa4 ...shenzy kbs..unahitaj msaada alafu unatongoza mtoto wa mwenye nyumba??shenzy typ
 
Mie hom tumeishi na ndg wengisana .nisingekuwa mkali wangenila kila mtu...yaan nilifukuza watu km wa4 ...shenzy kbs..unahitaj msaada alafu unatongoza mtoto wa mwenye nyumba??shenzy typ
kumbe hadi Kissing mlishafanya basi wewe ni mjinga sana hora ungetomba tu
 
Yye alionesha hisia za mapenzi sana ssa me kiukwel nkawa nachat nae tu namckilizia,ila show ndo hapana na nlijiapia ctokagusa

Heri angefanyia mbali me cna tatizo ila kuleta masela hom dah! kingom haipo kbsa
Na ww ulifika mbali...had mnachat?
 
Habari wakuu

Kuna binti alikuja home miezi kadhaa nyuma baada ya kumaliza O level kwa ajili ya maandalizi ya Advance kwani alifaulu

Sasa baada ya kuzoeana alianza kuonesha interest tofaut tofaut za kimapenzi kwangu ila mimi kiukweli nlimuignore na sikufanya nae chochote zaidi ya kissing tu usiku mmoja aliponivamia gheto kwangu bila kutarajia

Sasa ijumaa iliyopita nlikua natoka center mida ya saa tano usiku nlipokaribia karibu na hom nkaona anaongozana na jamaa hadi kwenye chumba tulichompatia kwa ajili ya kukaa maana kinajitegemea

So nlichofanya nlienda hadi dirishani kwake nikagonga nkamuita ili kuwaaribia mood then nkaondoka then baada ya dk kadhaa akantxt eti"Kuna mgeni" nkamjibu Nimeona kila kitu na naomba umuondoe haraka sana.

Baada ya mda nkarudi kuhakikisha nkawaona wanaagana na akantxt kwamba eti mara yake ya kwanza kumleta na hii nimesababisha mimi maana namuignore.

So wadau mpaka leo sijamwambia mwanafamilia yeyote kuhusu hili swala ila nataka nimwambie huyu binti kuwa siku atapoondoka kwenda shule asiwahi kurudi tena hapa nimeshajaribu kumtxt aje nimwambie physical ila ananikwepa sana

Je ntakua sawa nikimpiga biti asikanyage tena hapa hom?
Jogoo anawika sawa sawa? Ulishawahi kumtest? Huenda unatatizo hilo. Soma comments za wadau waliowengi kisha jitafakari
 
Back
Top Bottom