Mtoa mada yawezekana ulikuwa na nia njema,ila najiuliza kama lengo ni kuzuia hiyo tabia ya kuleta wanaume hapo nyumbani,sawa ni jambo jema na si ustaarabu hata kidogo,
Kwa nini msimuite na kumkanya kama dada yako tu na akajua uko serious katika hilo?
Lakini pia wewe uliwahi kumpiga kiss je unaweza kumcommand kama ambavyo ungefanya kwa dada yako?
Ndio maana imeonekana kama ni wivu tu,,lakini alileta mgeni wake muda gani?
Je anachokifanya madhara yake wewe yanakuathiri nini?
Nina mengi ila jaribu kuongea nae kama kaka,ukixhindwa basi na wewe omba utom.....be